Oa uanze maisha.Wakuu na wasilimu sana !
Bila ya kupoteza muda mimi ni mwalimu wa shule moja ya private huku kijijini ndani ndani na muhitimu wa shahada ya ualimu masomo ya arts(Sanaa).
Lengo la uzi huu kwa wanajamvi ni kuwa uliza hivi kweli kwa kipato hiki cha laki 250,000 ntaweza kutoboa kimaisha kweli? ikumbukwe mimi ni wa kiume sina kiwanja wala nyumba.
Kama ijulikanavyo fainali uzeeni naona kabisa fainali yangu sasa imefika naombeni ushauri wa kina kabisa.
Wenu katika ujenzi wa taifa
Sakwe
Wakati ukifanya hiyo kazi,fanya kilimo na shughuli zingine za kijasiliamaliWakuu na wasilimu sana !
Bila ya kupoteza muda mimi ni mwalimu wa shule moja ya private huku kijijini ndani ndani na muhitimu wa shahada ya ualimu masomo ya arts(Sanaa).
Lengo la uzi huu kwa wanajamvi ni kuwa uliza hivi kweli kwa kipato hiki cha laki 250,000 ntaweza kutoboa kimaisha kweli? ikumbukwe mimi ni wa kiume sina kiwanja wala nyumba.
Kama ijulikanavyo fainali uzeeni naona kabisa fainali yangu sasa imefika naombeni ushauri wa kina kabisa.
Wenu katika ujenzi wa taifa
Sakwe
GreatNalifanyia kazi hili mkuu
JiwekezeWakuu na wasilimu sana !
Bila ya kupoteza muda mimi ni mwalimu wa shule moja ya private huku kijijini ndani ndani na muhitimu wa shahada ya ualimu masomo ya arts(Sanaa).
Lengo la uzi huu kwa wanajamvi ni kuwa uliza hivi kweli kwa kipato hiki cha laki 250,000 ntaweza kutoboa kimaisha kweli? ikumbukwe mimi ni wa kiume sina kiwanja wala nyumba.
Kama ijulikanavyo fainali uzeeni naona kabisa fainali yangu sasa imefika naombeni ushauri wa kina kabisa.
Wenu katika ujenzi wa taifa
Sakwe
Yes,Wakuu na wasilimu sana !

Mpe mtaji mh mbunge hata mil 5 tu..nyie ni watu wakubwa hapa nchini.Yes,
kwa kijijini unatoboa tena vizuri sana ukijiwekea malengo vizuri gentleman 🐒
Japo naona wengine wanakupaka paka Mafuta kwa kukufariji uongo ila wacha me niseme tu ukweli.Wakuu na wasilimu sana !
Bila ya kupoteza muda mimi ni mwalimu wa shule moja ya private huku kijijini ndani ndani na muhitimu wa shahada ya ualimu masomo ya arts(Sanaa).
Lengo la uzi huu kwa wanajamvi ni kuwa uliza hivi kweli kwa kipato hiki cha laki 250,000 ntaweza kutoboa kimaisha kweli? ikumbukwe mimi ni wa kiume sina kiwanja wala nyumba.
Kama ijulikanavyo fainali uzeeni naona kabisa fainali yangu sasa imefika naombeni ushauri wa kina kabisa.
Wenu katika ujenzi wa taifa
Sakwe
Naam nimekuelewa vizuri mkuu,japo natamani kubadilisha fani ila nawaza ni fani gani hiyo itanifaa japo najua pia biashara sio kwa ajili ya kila mtuMoja ya mambo muhimu hasa ukiwa ktk early thirties ni kufanya life transformation .
Mfano , unafundisha , jaribu kufikiria je hapo kijijini unaweza ukawauzia bidhaa Gani .
Ukijua katika hiyo 250k jitahidi ufanye saving ulipata hata 500k-1MTsh waweza Anza biashara.
Biashara ina faida Moja kubwa , ina tabia ya kukutanisha na watu ambao usingeweza kukutana nao kwenye maisha.
So think about to own ur own stuffs.
Mshahara wangu kwa mwaka mzima bila kugusa hata senti moja ni milioni 3, hapo tunazungumzia muda wote uko shule ni asubuhi mpka jioni na malipo ni tarehe 30 na baadhi ya miezi huvuka bila kupewa chochoteJapo naona wengine wanakupaka paka Mafuta kwa kukufariji uongo ila wacha me niseme tu ukweli.
Hata ukisema hiyo hela yako yote uwe unaitunza au kuwekeza bila kutumia hata kidogo japo ni kitu ambacho haiwezekani hauwezi kutoboa kimaisha kamwe!
huo ni ukweli mchungu