baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 3,016
- 4,404
Terrible concept ni hesabu za msingi au ni hiyo 'view' yako ya kufungua duka kwa mtaji wa laki mbili na nusu?Is terrible concept ,
Mzee , maisha ya mtaani hayajali kiingereza chako cha kuunga unga, yanajali uhalisia wa mfuko. Kubali matokeo, hesabu imekataa.
Endelea kukomaa na maneno magumu wakati mwalimu anataka mbinu za kutoka