Nina miaka 30 na mshahara wangu ni 250k je nitaweza kutoboa?

Nina miaka 30 na mshahara wangu ni 250k je nitaweza kutoboa?

Hujasema uko ndani ndani ni wapi?mkoa gani?hali ya hewa ikoje?kama inaruhusu anza kujikita kidogo kidogo kwenye kilimo
Niko mkoa wa Simiyu wilaya ya meatu
 
Kutoboa kwa rate hiyo inahitaji discipline ya hali ya juu katika kudunduliza na kuchakata ubongo katika kutafuta kibiashara kidogo kitakachokusogeza sogeza mbele kidogo
 
Niko mkoa wa Simiyu wilaya ya meatu
Huko wanalimaga pamba?ingia kwenye kilimo ila usiache kazi kwanza tumia fursa za mikopo kuwekeza kwenye kilimo ila ukikurupuka kuacha kazi kitakuramba nina experience yaliwahi nikuta
 
Huko wanalimaga pamba?ingia kwenye kilimo ila usiache kazi kwanza tumia fursa za mikopo kuwekeza kwenye kilimo ila ukikurupuka kuacha kazi kitakuramba nina experience yaliwahi nikuta
Ndio la kuacha kazi naliwazia sana ,japo kuna roho inagoma ila kiukweli kama wewe uliacha kazi ukapitia changamoto na imani ulivuka iko kipindi lakini
 
Miaka 30s una degree then ufanye kazi ya doller Mia moja kwa mwezi?
ungekuwa kwenye Early 20 sawa

take risk
acha huo hiyo kajitafute shambani

shamba halijawahi mtupa mtu
 
Miaka 30s una degree then ufanye kazi ya doller Mia moja kwa mwezi ?
ungekuwa kwenye Early 20 sawa

take risk
kajitafute shambani

shamba halijawahi mtupa mtu
Unayozungumza ni ya kweli kabisa kanji
 
Ndio la kuacha kazi naliwazia sana ,japo kuna roho inagoma ila kiukweli kama wewe uliacha kazi ukapitia changamoto na imani ulivuka iko kipindi lakini
Ni kipindi kigumu sana,ila nilichojifunza nilitakiwa kujipanga kwanza kabla sijaacha kazi ili nikiacha tu naendelea na mishemishe
 
Ni kipindi kigumu sana,ila nilichojifunza nilitakiwa kujipanga kwanza kabla sijaacha kazi ili nikiacha tu naendelea na mishemishe
Nashukuru sana kwa mawazo yako mkuu
 
Kila mtu anamalengo, ndoto na maono yake.
Kumaanisha Kila MTU ana kutoboa kwake.

Hivyo 250k inategemea were unamipango na malengo gani ya baadaye.

Fainali uzeeni ni msemo tuu. Usikuweke kwenye tension na pressure
 
Uko sahihi mkuu malengo na ndoto zangu ni kubwa mnoo ila naona kwa kibarua hiki tena huku kijijini malengo yangu haya makubwa na talanta zilizobarikiwa zitaishia kwenye bomba
 
Back
Top Bottom