Nina miaka 30 na mshahara wangu ni 250k je nitaweza kutoboa?

Ungekuwa mwalimu wa masomo ya sayansi ningekushauri hata ufungue tuition, ila kwa arts hapo imekula kwako.
 
Mshahara wangu kwa mwaka mzima bila kugusa hata senti moja ni milioni 3, hapo tunazungumzia muda wote uko shule ni asubuhi mpka jioni na malipo ni tarehe 30 na baadhi ya miezi huvuka bila kupewa chochote
Nakuelewa vzr mkuu,kwa wanao fanya na tuliopitia kaz za private me nakumbuka nilikaa miez 3 bila mshahara na mshahara n kama wako 250k..

Alafu Bado home unabidi uwasupport kwa hiyo hiyo 250k.
 
Usijinyime ati unaserve, unaweza fikisha meter(M) afu udead.
Relax wacha stress, tafuta shamba uanze kilimo si umesema ni kijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…