Nina miaka 39 - Natafuta Mchumba

Nina miaka 39 - Natafuta Mchumba

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
34,181
Reaction score
41,563
Muda umefika sasa wa kutafuta jiko - yaani kuoa. Nina miaka 39 sasa natafuta binti mtanashati, mrembo, mpole na mshika dini - awe ana miaka 22 hadi 24 asiwe na mtoto, msomi walau kidato cha nne; mrefu wa futi 5.8 na kuendelea asiwe Bonge uzito kilo 45-55 hivi, awe maji ya kunde au rangi ya chungwa itakuwa mwaaa zaidi.

Mengineyo tutaongea nikimwona na tukianza mahusiano - awe mcha Mungu na asiwe na makuu yaani macho juu uu - asiwe na tamaa - sichagui dini wala kabila. karibuni warembo.

Naambatanisha haka ka picha kangu nimekachukua nikiwa Gym leo asubuhi - Asanteni kwa ushirikiano wenu.

Sifa yangu ya pekee najua kupenda!!

1138100
 
15 years gape si mchezo , [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee baba umekuwa KAI GREEN wa kule Marekani?..........au umeamua kufurahisha baraza
 
Ukute ni Kai Green mwenyewe ndio anatafuta mkuu......dunia ni kama kijiji....[emoji16][emoji16][emoji16]
Kai Green akiwa na hicho kiswahili nahama nchi aisee 😀😀😀
 
Back
Top Bottom