Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 6,351
- 5,556
Sema una miliki na digrii,vipi mzee wako alikupokea? Au bado anakuona kibaka tu.Naombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.
Nahisi kukata tamaa kabisa na haya maisha. Mliokwisha pitia hali kama hii yangu kwenye umri huu na ukawa kwenye maisha kama haya, ilikuwaje? Naombeni mnisaidie kimawazo.
Kuna muda natamani hata corona ije upande wangu, nahisi kukata tamaa kabisa.
Sina kazi, sina kibarua kabisa. Maisha yamekuwa magumu sana upande wangu.
Karibuni kwa mawazo yenu, wakuu.

Naombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.
Nahisi kukata tamaa kabisa na haya maisha. Mliokwisha pitia hali kama hii yangu kwenye umri huu na ukawa kwenye maisha kama haya, ilikuwaje? Naombeni mnisaidie kimawazo.
Kuna muda natamani hata corona ije upande wangu, nahisi kukata tamaa kabisa.
Sina kazi, sina kibarua kabisa. Maisha yamekuwa magumu sana upande wangu.
Karibuni kwa mawazo yenu, wakuu.
Kazi huzipati hapa! Change your mind set you will get into the game!Naombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.
Nahisi kukata tamaa kabisa na haya maisha. Mliokwisha pitia hali kama hii yangu kwenye umri huu na ukawa kwenye maisha kama haya, ilikuwaje? Naombeni mnisaidie kimawazo.
Kuna muda natamani hata corona ije upande wangu, nahisi kukata tamaa kabisa.
Sina kazi, sina kibarua kabisa. Maisha yamekuwa magumu sana upande wangu.
Karibuni kwa mawazo yenu, wakuu.
well saidPole sana mkuu karibu asilimia 40 ya vijana wa kitanzania katika umri wako wanaishi maisha hayo.
Usikate tamaa kuona watu wanafanikiwa katika umri mdogo na wewe huna. Kila mmoja hupata kwa wakati wake kadri alivyopangiwa.
sureHauko peke yako Mkuu.
Pole sana mkuu. Usikate tamaa, pambana. Mimi hali ilibadilika nilipofikisha miaka 35 baada ya kusota kama wewe!Naombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.
Nahisi kukata tamaa kabisa na haya maisha. Mliokwisha pitia hali kama hii yangu kwenye umri huu na ukawa kwenye maisha kama haya, ilikuwaje? Naombeni mnisaidie kimawazo.
Kuna muda natamani hata corona ije upande wangu, nahisi kukata tamaa kabisa.
Sina kazi, sina kibarua kabisa. Maisha yamekuwa magumu sana upande wangu.
Karibuni kwa mawazo yenu, wakuu.
Kuna mtu wangu wa karibu ambaye ninamfahamu, ambaye pia alikuwa na hisia kama zako. Ilifikia kiwango mpaka wazazi wake walianza kumnanga wazi wazi tena mbele ya wadogo zake. Aliamua kwenda Mbuguni Arusha kwenye machimbo ya vito vya thamani. Alisota na hatimaye akaibuka, kwa sasa ana ukwasi wa haja.Naombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.
Nahisi kukata tamaa kabisa na haya maisha. Mliokwisha pitia hali kama hii yangu kwenye umri huu na ukawa kwenye maisha kama haya, ilikuwaje? Naombeni mnisaidie kimawazo.
Kuna muda natamani hata corona ije upande wangu, nahisi kukata tamaa kabisa.
Sina kazi, sina kibarua kabisa. Maisha yamekuwa magumu sana upande wangu.
Karibuni kwa mawazo yenu, wakuu.
Umesahau, una na smartphone mkuu!!!!Kuna mtu wangu wa karibu ambaye ninamfahamu, ambaye pia alikuwa na hisia kama zako. Ilifikia kiwango mpaka wazazi wake walianza kumnanga wazi wazi tena mbele ya wadogo zake. Aliamua kwenda Mbuguni Arusha kwenye machimbo ya vito vya thamani. Alisota na hatimaye akaibuka, kwa sasa ana ukwasi wa haja.
Ebu na wewe jaribu kulishughulisha na mambo ya kilimo, ukijizatiti vyema hakitakuangusha. Ama kama unapenda kazi za mitulinga tafuta "connection" ktk mgodi mmojawapo uende kujaribu bahati yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wapo wakubwa zaidi yako hawana hata godoro?Naombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.
Nahisi kukata tamaa kabisa na haya maisha. Mliokwisha pitia hali kama hii yangu kwenye umri huu na ukawa kwenye maisha kama haya, ilikuwaje? Naombeni mnisaidie kimawazo.
Kuna muda natamani hata corona ije upande wangu, nahisi kukata tamaa kabisa.
Sina kazi, sina kibarua kabisa. Maisha yamekuwa magumu sana upande wangu.
Karibuni kwa mawazo yenu, wakuu.
hebu jaribu kufuga makuku kama mimi hapa!angalau thamani yake kama laki tatu nikiyauza yote kwa bei ya kati kama msimbazi hv!!