Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Naomba shule kuhusu hii fixed account mkuuNenda bank kuna, aina za account ambazo sio fixed zinazotoa riba au gawio kwa hela zako, NMB wana bonus account ambayo unafungua na kianzio cha 50000, BARCLAY'S, KCB, EQUITY na DTB zipo hizo account. Na hazina makato yoyote yale ya mwezi wala ya mwaka. Unakuwa na ltd namba za kufanya drawings
Sio fixed account, wanaziita saving. Kila bank na utaratibu wake. Mfumo wao unafungua account unaweka fedha, fedha hizo unaweza kuzitoa wakati wowote ule unaotaka ilawao wanakuwa wameset idadi ya drawings unazoweza kufanya ili upewe gawio, mfano KCB, NMB, EQUITY. ni mara nne kwa mwaka, kadri fedha zinapokaa zaidi kunakuwa na bonus kwaasilimia kadhaa ya gawio utakalokuwa unapata. Na account hizo gawio hutolewa kila baada ya miezi minne. Tembelea bank husika ili kujua zaidi kuhusu hili
Kwani zikiwa bank ndo ukifa unafufuka??Hahahs utafufuka uwaeleze? au imekaanje hii? Nazungumzia vifo vya ghafla. Na elewa kama nilivyo sema pesa zinatunzwa benki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmm, kweli hii??Peleka NMB bank....kuna account inaitwa Bonus account...itakufaa sana unapata hadi 13% interest annually
Sent using Jamii Forums mobile app
Wekeza katika cryptocurrency nunua bitcoin now na uzihold maana zinapanda thamani kilasikuNaomba msaada kwa Watalam wa uchumi Nina pesa mil 5 je ili nisikumbane na makato makubwa niweke kwa bank account au eatel money? Msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka airtel moneyNaomba msaada kwa Watalam wa uchumi Nina pesa mil 5 je ili nisikumbane na makato makubwa niweke kwa bank account au eatel money? Msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naweza pata maelezo zaidWekeza katika cryptocurrency nunua bitcoin now na uzihold maana zinapanda thamani kilasikuView attachment 558939
Sent using Jamii Forums mobile app