Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupata vyema mkuu umefafanua vizuriMkuu biashara ya hisa inafaida tena nzr sana, ila sasa ili unufaike na faida itategemea hali ya kiafya ya kampuni yako ikoje kwa siku za baadae baada ya kununua, endapo itazidi kuchanua na kuwa juu kiushindani ndivyo na hisa zako zitakavyozidi kuwa na dhamani ya juu, sasa zinauzwa 850 lkn kampuni ikifanya vzr zaidi zinaweza zikapanda mpk zaidi ya 12000 kwa hisa kwa miaka ya baadae, hapo ukiuza hisa zako ulizonunua sasa kwa 12000 utakuwa wapi?? Na hpo bado hatujazungumzia gawio. Bad ni pale kampuni itakapoyumba ndio mambo huwa ovyo ingawa kwa kampuni kama voda iliyoposokoni kitambo sio rahisi na ata ikiyumba haiwez ikadumu kuyumba bali mwaka mwingine itasimama tu vzr zaidi, binafsi nimenunua hisa kadhaa nasubiri cheti changu.
Na bado iyo pesa wanakata chini ya 18% ya kodi ya serikali.Ukweli ni kuwa ununuaji wa hisa ni biashara kichaa. Mtu anaweza akasema kuwa sijui biashara hii, la hasha. Mfano, CRDB Bank walitangaza faida ya almost 150+ kwa hesabu za mwaka jana. Lakini, kila mwahisa anategemea kupata shs 10 kwa kila hisa kama dividend. Hii ni disaster.
Inawezekana kwa miezi Sita au mwakaKwamda gan hiyo 10
Ebu ziweke fixed deposit account. Mambo si shwari kampuni za simu.[emoji7]
Uwezekano wa kupata faida kwa kampuni kama Vodacom ni mkubwa ila kumbuka kuwa kiuchumi wanahisa huwa hawagawani faida bali gawio hutokana na kitu kinachoitwa DIVIDENDS yaani NYARA na kiwango cha gawiwo kwa msimu mmoja hutegemeana na kiwango cha hiyo nyara kulinganisha na kiwango cha wekezo la hisa zako ktk mtaji wa uendeshaji wa kampuni ndani ya muhula husika. Sasa usishangae mfano baada ya muhula labda wa mwaka kwa hisa zako za thamani ya 1milion ukapata gawio la Tshs 1345.60. Make sense, yaani kwa mwaka ukapata Sh elfu moja mia tatu arobaini na tano na sent sitini. Ndio maana biashara hii inawafaa watu wenye fedha nyingi ambao huwekeza fedha zao za ziada.[emoji7]
Umelitendea Haki Jina lako.Fungua biashara.au kalete heshima club
Nimekupata vyema mkuuUwezekano wa kupata faida kwa kampuni kama Vodacom ni mkubwa ila kumbuka kuwa kiuchumi wanahisa huwa hawagawani faida bali gawio hutokana na kitu kinachoitwa DIVIDENDS yaani NYARA na kiwango cha gawiwo kwa msimu mmoja hutegemeana na kiwango cha hiyo nyara kulinganisha na kiwango cha wekezo la hisa zako ktk mtaji wa uendeshaji wa kampuni ndani ya muhula husika. Sasa usishangae mfano baada ya muhula labda wa mwaka kwa hisa zako za thamani ya 1milion ukapata gawio la Tshs 1345.60. Make sense, yaani kwa mwaka ukapata Sh elfu moja mia tatu arobaini na tano na sent sitini. Ndio maana biashara hii inawafaa watu wenye fedha nyingi ambao huwekeza fedha zao za ziada.
njoo uwekeze kwenye kampuni yetu D9 club,unalipwa faida kila wiki achana na hisa za voda mkuu[emoji7]