Nina mil1na nusu je nikinunua hisa za Voda zinaweza nilipa

Nina mil1na nusu je nikinunua hisa za Voda zinaweza nilipa

1,500,000 / 850 * 30 = 52,941/= Approximate dividend ya mwaka.
 
Mkuu biashara ya hisa inafaida tena nzr sana, ila sasa ili unufaike na faida itategemea hali ya kiafya ya kampuni yako ikoje kwa siku za baadae baada ya kununua, endapo itazidi kuchanua na kuwa juu kiushindani ndivyo na hisa zako zitakavyozidi kuwa na dhamani ya juu, sasa zinauzwa 850 lkn kampuni ikifanya vzr zaidi zinaweza zikapanda mpk zaidi ya 12000 kwa hisa kwa miaka ya baadae, hapo ukiuza hisa zako ulizonunua sasa kwa 12000 utakuwa wapi?? Na hpo bado hatujazungumzia gawio. Bad ni pale kampuni itakapoyumba ndio mambo huwa ovyo ingawa kwa kampuni kama voda iliyoposokoni kitambo sio rahisi na ata ikiyumba haiwez ikadumu kuyumba bali mwaka mwingine itasimama tu vzr zaidi, binafsi nimenunua hisa kadhaa nasubiri cheti changu.
Nimekupata vyema mkuu umefafanua vizuri
 
nunua pikipiki isajili ukishamaliza tafuta mwendeshaji kila siku akupe 6000 badala ya elfu 7 matengenezo yote ni juu ya dereva achana na hio biashara ya hisa nisawa na kulima karanga kwenye shamba la shule
 
Ukweli ni kuwa ununuaji wa hisa ni biashara kichaa. Mtu anaweza akasema kuwa sijui biashara hii, la hasha. Mfano, CRDB Bank walitangaza faida ya almost 150+ kwa hesabu za mwaka jana. Lakini, kila mwahisa anategemea kupata shs 10 kwa kila hisa kama dividend. Hii ni disaster.
Na bado iyo pesa wanakata chini ya 18% ya kodi ya serikali.
Sema kwa wafanyabiashara wanatumia kama dhamana ya kupata mkopo wa haraka. Maana hisa kwa benki ni fasta, kupata mkopo kwa hisa ambazo zipo vizuri sokoni,
 
Kwa kiasi hicho cha hela achana na mahisa. Nenda vijijini chukua mahindi sogeza mjini na uza. Rudia hii kwa muda utaleta mrejesho hapa. Hata pesa ikiwa ngumu vipi watu watakula tu!
 
Hisa ni pasua kichwa,
Jiweke tu huko, kisha ujinyonge kwa kukosa gawio.

Yaani Hisa ni sawa na kulima shamba la miwa jirani na shule (za chekechea , shule za msingi hadi sekondari hadi vyuo vikuu vya Kata ).

Kwa kifupi, Hisa haihitaji uwe na hela za mawazo na kutegemea hiyo hela kuendesha maisha.

Kumbuka, ukisikia kitu unawekeza hela yako, ila bado wanakutahadharisha,,, Eti Vigezo na Masharti Kuzingatiwa,,, ogopa sana hiyo kauli ""

Nitarudi tena ... ... ...
 
Kama ni kijana mpambanaji, bora uiongezee kidogo ununue bodaboda upge nayo kazi mwenyewe.
 
Uwezekano wa kupata faida kwa kampuni kama Vodacom ni mkubwa ila kumbuka kuwa kiuchumi wanahisa huwa hawagawani faida bali gawio hutokana na kitu kinachoitwa DIVIDENDS yaani NYARA na kiwango cha gawiwo kwa msimu mmoja hutegemeana na kiwango cha hiyo nyara kulinganisha na kiwango cha wekezo la hisa zako ktk mtaji wa uendeshaji wa kampuni ndani ya muhula husika. Sasa usishangae mfano baada ya muhula labda wa mwaka kwa hisa zako za thamani ya 1milion ukapata gawio la Tshs 1345.60. Make sense, yaani kwa mwaka ukapata Sh elfu moja mia tatu arobaini na tano na sent sitini. Ndio maana biashara hii inawafaa watu wenye fedha nyingi ambao huwekeza fedha zao za ziada.
 
Nimefaidika sana na hii thread,big up wote mliotusaidia kutoa mawazo,hivyo chukua akili ya kuambiwa changanya na yako.
 
Uwezekano wa kupata faida kwa kampuni kama Vodacom ni mkubwa ila kumbuka kuwa kiuchumi wanahisa huwa hawagawani faida bali gawio hutokana na kitu kinachoitwa DIVIDENDS yaani NYARA na kiwango cha gawiwo kwa msimu mmoja hutegemeana na kiwango cha hiyo nyara kulinganisha na kiwango cha wekezo la hisa zako ktk mtaji wa uendeshaji wa kampuni ndani ya muhula husika. Sasa usishangae mfano baada ya muhula labda wa mwaka kwa hisa zako za thamani ya 1milion ukapata gawio la Tshs 1345.60. Make sense, yaani kwa mwaka ukapata Sh elfu moja mia tatu arobaini na tano na sent sitini. Ndio maana biashara hii inawafaa watu wenye fedha nyingi ambao huwekeza fedha zao za ziada.
Nimekupata vyema mkuu
 
Kwa uchumi huu,kwanza ulimskia mkuu juz kat anasema anataka aanze na makampun ya sim sasa,kwamba kuna kod nying ilikwepwa.?sasa hyo ni red light mzee,kua macho,usije skia voda wanadaiwa bil400 toka kampun ianze,na ndo utakua mwisho wao..hyo pesa ya dafu naona unataka itupa tuu..tigo juz juz waliwakata watu pesa na hazijarud had leo,ukiwapigia ohh ztarud,..ni red light wadau.si mda mzur huu kununua hisa za any company,..
 
Back
Top Bottom