Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
SawaMchek huyu dalali Binti Sayunii atakusaidia
Sawa mkuuGoba kweli Kuna kiwanja cha bei hiyo? ngoja wajuvi wake na mwongozo
Labda akanunue Chalinze huku Goba hakuna eneo la bei hiyoMchek huyu dalali Binti Sayunii atakusaidia
Mkuu kwa hiyo bei unaweza kupata lakini inaweza ikawa mbali sana na huduma za kijamii, labda uongeze ongeze, Goba siku hizi kushakuwa mjini viwanja viko juu sanaKama kichwa h'cha habari kinavyojieleza natafuta eneo goba Nina hicho kiasi Ili niweze kujenga Kwa mwenye eneo naomba tufanye biashara MODS: msihamishe huu Uzi tafadhali uacheni jukwaa hili hili
Mkuu njoo pm tafadhaliMkuu kwa hiyo bei unaweza kupata lakini inaweza ikawa mbali sana na huduma za kijamii, labda uongeze ongeze, Goba siku hizi kushakuwa mjini viwanja viko juu sana
Mkuu mimi siyo dalaliMkuu njoo pm tafadhali
Sawa Kwa hiyo Bei nitapata Cha ukubwa Gani mkuuMkuu mimi siyo dalali
No reform no electionKama kichwa h'cha habari kinavyojieleza natafuta eneo goba Nina hicho kiasi Ili niweze kujenga Kwa mwenye eneo naomba tufanye biashara MODS: msihamishe huu Uzi tafadhali uacheni jukwaa hili hili
Reform ya kupata kiwanja auNo reform no election
Ukubwa wa kutosha kujenga chooSawa Kwa hiyo Bei nitapata Cha ukubwa Gani mkuu
Duuh kwahiyo mkuu goba haiwezekaniUnatafuta kuibiwa tu mkuu kwa offer hiyo labda uende chaka ndani ndani huko Msumi au Mpigi Magoe ndiyo utapata na chenyewe 20x20.
Labda uzungumze na madalali mkuu, njoo PM nikupe namba ya dalali mmojaSawa Kwa hiyo Bei nitapata Cha ukubwa Gani mkuu
Huko eneo 20x20 kwa sasa unazumgumzia 30+ mill na unaweza usipate.Duuh kwahiyo mkuu goba haiwezekani