Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #21
Duuh mkuu acha masihara kwahiyo hata 10x10 hupati Kwa hii Bei ya 5mHuko eneo 20x20 kwa sasa unazumgumzia 30+ mill na unaweza usipate.
Nina jamaa yangu juzi mwezi march 25x30 alikunja 51 mill kama masihara na alipanunua 2009 kwa mill 4 na point,eneo la Goba kwa sasa ni mali sana kwa ukanda huu wa Mbezi.