nina milioni 1, ninunue kifaa gani au niwekeze huduma ipi kwenye tech niingize pesa ?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
N:B: Sihitaji idea za PS, kamari, forex, bitcoin.

habari zenu wana tech, naombeni mnipe ideas

Nipo mazingira ya mjini

binafsi ni muajiriwa lakini ni mdau mkubwa sana wa side hustles

Nahitaji wazo au vifaa / huduma walau kuingiza elf 10 kwa siku,

niliwahi kufungua banda la games tatizo kubwa mimi ni mtumishi sishindi nliweka kijana mwanzoni nilikuwa napata napiga hela ila baada ya miezi miwili simu za wazazi zikaanza kuita wanalalamika watoto wanaiba pesa nyumbani, sheria za kufungua kuanzia jioni, wezi, n.k.
 
Kama uko kijijini anzisha playstation

Nina eneo huku bush nimeweka ps3 kama nne na ps4 4 nilianza na ps 3 mbili na nlikua naingiza 15k kwa siku
Mpaka sahv nacheza 35k to 40k siku nzuri

Kama uko mjini watakuja wa msaada maana hata na mimi ningekua mjini nisingeingiza hii hela
 
Kwa million hapo anapata PS4 Moja na TV inch 32...
 
Back
Top Bottom