1. Room 20 za kisasa
2. Vitanda vikubwa vya kisasa
3. A.c.
4. Maji ya moto, kwa hita kubwa
5. Sweeming pool
6. Michezo ya watoto ya kuteleza kama pale Tanga beach resot na kwingine.
7. Reception safiii
8. Counter ya kisasa nje.
Yaani mimi ni kuanza kutumia tu.
Eneo ni langu Nina 100ml
Milion 100 kwenye ujenzi wa ‘modern house’ ni pesa ndogo sana, huwezi jenga nyumba yenye gorofa2 kwa 100m, sana sana utauwa wapangaji kwa mjengo kuporomoka!
Milion 100 kwenye ujenzi wa ‘modern house’ ni pesa ndogo sana, huwezi jenga nyumba yenye gorofa2 kwa 100m, sana sana utauwa wapangaji kwa mjengo kuporomoka!
Cha kwanza kufanya Tafuta ramani yako au mwelezee mtu akucholee ramani ya iyo motel unayotaka
Pili mtafute engineer mpige hesabu ya matofali yanayotakiwa ....Jumla ya kujenga iyo motel unayotaka.. na ghalama ya mafundi na vibali vya ujenzi
Tatu.. Utakuwa umepata Jibu kama inatosha au..........................
Nne... Ata simple lodge unaweza jenga na Pesa itakayobaki ukafanyia mambo mengine
Tano: sio lazima iwe dar kuna sehemu kama iramba-singida.... wekeza sehemu ambayo unaweza ukatumia cost ndogo lakini unapiga hesabu iyo sehemu inaweza kuja kuwa kubwa kimaendeleo