Nina milioni 100 naweza jenga motel yenye room 20, swimming pool , na vifaa vyake vyote?

Nina milioni 100 naweza jenga motel yenye room 20, swimming pool , na vifaa vyake vyote?

1. Room 20 za kisasa
2. Vitanda vikubwa vya kisasa
3. A.c.
4. Maji ya moto, kwa hita kubwa
5. Sweeming pool
6. Michezo ya watoto ya kuteleza kama pale Tanga beach resot na kwingine.
7. Reception safiii
8. Counter ya kisasa nje.
Yaani mimi ni kuanza kutumia tu.
Eneo ni langu Nina 100ml
Mia haitoshi mkuu andaa funguu lakueleweka
 
1. Room 20 za kisasa
2. Vitanda vikubwa vya kisasa
3. A.c.
4. Maji ya moto, kwa hita kubwa
5. Sweeming pool
6. Michezo ya watoto ya kuteleza kama pale Tanga beach resot na kwingine.
7. Reception safiii
8. Counter ya kisasa nje.
Yaani mimi ni kuanza kutumia tu.
Eneo ni langu Nina 100ml
Hiyo senti ni kwa nyumba ya kawaida kama vyumba vinne tu. Una habari kuwa nyumba za NSSF za Kijichi ni kuanzia shilingi 260 milioni kwa nyumba ya vyumba vitatu?
 
kwangu mimi hiyo hela ingetosha, watu wanasahau kwamba motel sio lazima iwe gorofa, inaweza kuwa nyumba ya chini tu lakini imeboreshwa viwango kukidhi hadhi ya kuitwa motel na sio lodge au guest house. na inategemea na eneo kiwanja kilipo pia.
 
Tena overpriced.

Napenda Mwanza bei ziko reasonable...mf MIPA wanabei nzuri na vyumba kama uko Guangzhou
Kuna kitu maduhu hotel, vyumba kama hekalu, bonge la bed et elf 20 tena gorofa najiuliza wanapataje faida aisee mbona cheap sana.

Ila dodoma sasa kuna hii inaitwa OKAOMI ipo area A ya kawaida sanaa bei zake sasa
 
Tena overpriced.

Napenda Mwanza bei ziko reasonable...mf MIPA wanabei nzuri na vyumba kama uko Guangzhou
Misalaba Paul (MIPA) mzee wa madini,ghorofa simple Bei ya kushawishi.Mwanza wapo vizuri Eden Palace, Victoria Palace, Belmont ,za zamani kama New Mwanza ,La Kairo na Kingdom, Za hadhi ya juu ya Gold Crest na .........Mwanza kati ya hotel nyingi nilizolala zipo vizuri na huduma safi.
 
Kuna kitu maduhu hotel, vyumba kama hekalu, bonge la bed et elf 20 tena gorofa najiuliza wanapataje faida aisee mbona cheap sana.

Ila dodoma sasa kuna hii inaitwa OKAOMI ipo area A ya kawaida sanaa bei zake sasa
Dodoma na Moro sio safi Arusha na Dar hotel zipo vizuri.
 
Misalaba Paul mzee wa madini,ghorofa simple Bei ya kushawishi.Mwanza wapo vizuri Eden Palace, Victoria Palace, Belmont ,za zamani kama New Mwanza ,La Kairo na Kingdom, Za hadhi ya juu ya Gold Crest na .........Mwanza kati ya hotel nyingi nilizolala zipo vizuri na huduma safi.
Dodoma kila kitu overpriced.
MIPA nawakubali mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla na rejareja :-
2*2 fut12=2500
2*3 fut 12=3500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=14000
1*10fut 12 fisher board( treated)=15000
2*4 fut18(treated)=10000
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu pia Tunafanya delivery kwa wakazi wa Dar es salaam
Ofisi zetu zipo Tegeta kibaoni-Bagamoyo road
 
Milion 100 kwenye ujenzi wa ‘modern house’ ni pesa ndogo sana, huwezi jenga nyumba yenye gorofa2 kwa 100m, sana sana utauwa wapangaji kwa mjengo kuporomoka!
Ni Ujenzi wa Motel na si modern house...
 
Kwanza sema ,umepanga
1.Kujenga wapi...?
2.Umepanga kutumia matilio gani.
3.Mtindo gani USANIFU unalenga utumike
 
Labda kama unajengs vyumba kama madarasa itaishia ktk ujenzi tu mambo mengine tafuta ela ingine
 
Back
Top Bottom