Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Mim nna site ya ujenz,duka la ujenz na vifaa,.kwahyo hata material naponunua mim si sawa nawew bwana mkubwa,..unawajua kamaka ukiwa na akil pale unachkua material kwa bei ya chin kabsa,tatzo wa bongo wanajenga paspo tumia akil?halaf pia mi najenga kwa akil,mim ni contractor pia,Sio kwelii.ww Nina Uhakika Una Nyumba kabisa na ujawai kujenga,Muwe mna washauli watu ukweliii
....
UMENIKUMBUSHA NILIWAI KUWA NA MAFUNDI MATAPELI..NILIWAAMBIA NINA KIASI CHA PESA FLANI NITAWEZA KUJENGA(KABLA SIJA ANZA UJENZI).WAKANIPA MOYO IYO PESA NI NYINGI..BASI NIKA ANZA UJENZI..PESA IMEFIKA KWENYE KUPAUA IKAKATA.WAO WANATAKA PESA ZAO NA MIMI PESA NIKAWA SINA..ILIBIDI TUPELEKANE PANAPO HUSIKA..
TUJITAIDI KUWASHAULI WATU UKWELI,KWENYE MASWALA YA UJENZI
Tofal we ulinunua sh ngap? Kama sio 1200 bas elf1100,sasa mi sinunui tofal,..mi kiwanja changu kilikua cha kichanga,kwahyo nilichimba mchanga nikafyatua tofali,.yake mashimo nw ndo mashimo ya maj machaf ya nyumba,.kwahyo ukifyatua tofal linapungua bei karib nusu,linakua kama sh 650-700,.haya.square mita za nyumba unazingatia?au unajenga tu mi raman,halaf mi sebule yangu ni li design open kitchen,so nyumba yangu haina kuta nyingi.mi mfuko wa gypsum we unaonunua 16000 mi nanunua 10000,..bat ya guage 30 migongo mipana ya rang nanunu bei chee sana kiwanda cha shanshee,mbao nachkua bugurun kwa akil,ubao wa 2×2 we unanunua 3500-4000 wenye dawa,mi nanunua 2800,so nkikwambia nmetumia 24 mil,uamin,siko hapa kufurahisha genge,na najenga nyingne naamin hii ntatumia 25mil.kama huamin bas siko hapa kujisifu,nasema ukwl