Nina milioni 100 naweza jenga motel yenye room 20, swimming pool , na vifaa vyake vyote?

Mimi nakushauri uanze na Guest ya vyumba 6-8 kwa bajeti hiyo kwanza. Ili upate uzoefu na Kukomaa kutokana na changamoto katika biashara husika.
 
1.AC zipo kuanzia 500,000/-
2.Kitanda sio lazima 600,000/-
3.Heater......
4.Vyoo vya kukaa Hotel nyingi za kati wanaweka vya 180,000
5.....
6.TV zipo hadi 300,000/-

Wenye hotels wengi furniture wanaenda kununua wenyewe China.....sooooooo cheap!
Duh izo bei zako za kufikirika..katika budgeting ya vitu kama izo lazma bei ziwe za soko(market price) kama ukiagiza nje ilo ni suala jengine maana bei ni kama zile zile tu..io tv ya laki 3 labda inch 24 ambao itakuforce ubadilishe baada ya mda mfupi..wenzio wanaweka 32 kwenye modern lodges..izo Ac za laki tano labda used kwa mtu..ila AC mpya bei 790,000 BTU ndogo ya mwisho na brand ya chinese..
Kitanda sawa unaweza pata vya 300,000 quality..sink nzuri 230,000 io 180,000 bei yako...tuna hotels 3 ujenzi nimesimamia mimi najua bei ya kila kitu..
 
Not cheap as you think..tena kwa furniture za china ovyo bora utumie mpodo wetu tu wa bongo..izo bei za vitu china wenyewe wanawafanya biashara kama cc na wakiona mtu mgeni pia wanaweza wakakupiga vile vile kama unavyopigwa bongo...labda thailand kuna vitu bei nafuu zaidi..
 
Hotels nyingi za bongo zimejaa madude ya kichina, na si hotels tu nyumba kibao zimejaa vitu vya kichina.
 
Duh izo bei zako za kufikirika..katika budgeting ya vitu kama izo lazma bei ziwe za soko(market price) kama ukiagiza nje ilo ni suala jengine maana bei ni kama zile zile tu..io tv ya laki 3 labda inch 24 ambao itakuforce ubadilishe baada ya mda mfupi..wenzio wanaweka 32 kwenye modern lodges..izo Ac za laki tano labda used kwa mtu..ila AC mpya bei 790,000 BTU ndogo ya mwisho na brand ya chinese..
Kitanda sawa unaweza pata vya 300,000 quality..sink nzuri 230,000 io 180,000 bei yako...tuna hotels 3 ujenzi nimesimamia mimi najua bei ya kila kitu..
Market price kivipi wakati anaenunua kwa ajili ya hotel ananunua vingi?! Wewe ushaingia hizi hotel zetu za 30,000-100,000? Kuna vitu vya maana kwenye vyumba vyao? Wewe unaongea nini? Quality tunaweka kwenye nyumba zetu sio hotel uchwara hizi wanakuja kulala wapitaji.
AC za 500,000 zipo na zinafanyakazi vizuri, wewe kama unataka hata za 5m zipo.Hizo hotel zenu ndio zinapanga bei ya vitu China au duniani? Hebu usibabaishe watu hapa, tumeingia hotels za level zote, huyu ni obvious hotel anayotaka kujenga ni level za 20,000-100,000 ingekuwa anahela ya kujenga 4/5* asingekuja humu.
 
Naelewa sana hajengi hotel..anajenga lodge..n obvious kitu simple cha kuondoa mabishano ni kwamba budget ya lodge classic ambae anaisemea yy lazima awe na budget isiopungua 200...

Maneno mengi sina labda kama atafata ushauri wako wa kuagiza milango 20 china na makabati ambayo its nevertheless bora ungenunua apa apa bongo..Ac za 500,000 labda used narudia tena...Tv flat screen 32 inches 500,000 haishuki chini ya apo kwa brand yyte bongo..izo bei zako nyingine bishana na wasiojua...ila kwa gadgets apa ndio penyewe..

200 mil budget without swimming pool ata michezo ya watoto hatoweka..pazia tu set laki bei ya..au unataka aweke pazia za 13,000.maana na zenyewe pia zipo nyingi tu..

Njoo mkoani utembelee lodge za dom uku utoe macho labda utaelewa nini nasemea...
 
Wewe ni wazi hujui chochote. Nije dodoma kuangalia guest zenu uchwara?!!! Hopeless wewe nisitoe macho first world huko nije kutoa macho huko kwenye omba omba!
 
Market price kivipi wakati anaenunua kwa ajili ya hotel ananunua vingi?! Wewe ushaingia hizi hotel zetu za 30,000-100,000? Kuna vitu vya maana kwenye vyumba vyao? Wewe unaongea nini? Quality tunaweka kwenye nyumba zetu sio hotel uchwara hizi wanakuja kulala wapitaji.
AC za 500,000 zipo na zinafanyakazi vizuri, wewe kama unataka hata za 5m zipo.Hizo hotel zenu ndio zinapanga bei ya vitu China au duniani? Hebu usibabaishe watu hapa, tumeingia hotels za level zote, huyu ni obvious hotel anayotaka kujenga ni level za 20,000-100,000 ingekuwa anahela ya kujenga 4/5* asingekuja humu.
Achana na huyo boya hajui anaongea nin.hana hata kibanda huyu.mi nshajenga na pia nna kampun ya ujenz,..hapa hapa tz tena kariakoo hayo ma sink ya bafun hata 120 nampeleka,nondo,bati ,na takataka zote,mi nkiingia pale kamaka nanunua mzigo wa bei ya chin unaweza usiamin,hao si ndo wanajenga kiboya,..aongee na wenzie,..mi gypsum had ya elf10 najua inapatkana wap,sasa yeye akienda atapigwa elf16,..cement tena namba 42 mi nanunua kwa 10,..misumari,sjui takataka zoote,sasa yeye anajenga bila kutumia akil,hapa mjin bana,
 
7746b645e6c86ab93b663f0222b57122.jpg

Kwa juu Unatakiwa kuweka hii Wp
Amba ni sh.72,000 kwa Sqm.moja
Hii roof au?
 
Wewe ni wazi hujui chochote. Nije dodoma kuangalia guest zenu uchwara?!!! Hopeless wewe nisitoe macho first world huko nije kutoa macho huko kwenye omba omba!
Endelea kubishana na wasiojua mkuu..ila sio mimi..
 
Hiyo millioni mia ni kidogo sana. Aandaa billioni moja. Mimi binafsi sikushauri ujenge hotel,angalia uwekezaji mwingine.
Kwanini umshauri kujenga hotel mkuu?
 
Sibishani nakwambia, hakuna chochote cha mimi kushangaa kwenye guest uchwara!
Guest uchwara..endelea kusema ivyo ivyo..by the way najua kuwa Jf watu huwa wanajifanya wajuaji sana alaf hamna kitu wala experience..mengi mnayachota kwenye story tu alaf mnatumwagia humu..tembea uone mkuu..
 
Nitembelee Dodoma kwenye guest uchwara zenu?!!
 
Nadhani wengi humu wanatazama gharama ya matofali,mbao na bati ila nadhani unaweza pata architecture mzuri akadesign ambayo ni ya kipekee yenye kuendana na mahitaji yako.

Tazama hii Maramboi tented camp iko Tarangire,ni very nice place yenye unique design na nyumba zimejengwa juu ila kuta ni turubai tu

Maramboi Tented Camp – TWC
 
Back
Top Bottom