Nina milioni 100 naweza jenga motel yenye room 20, swimming pool , na vifaa vyake vyote?

Subiri kidogo:
1. AC ya kawaida mpya sh 1m, vyumba 20 ni 20m na installation ongeza 3m. Jumla sh 23m.
2. Kitanda cha mbao na gorodo na mashuka na mito kawaida kabisa, andaa laki sita hivi Mara 20 ni kama sh 12m
3. Heater kwa kila bafu ni sh ...... Jumla......m
4. Vyoo vya kukaa 20, kila moja laki mbili unusu......jumla 5m
5. Shower tray and accessories etc ..........?
6. TV kila chumba........?
7. Mapazia kila chumba....?
8. Vitasa vizuri/imara (union?)........?
9. Feni/pangaboi .......?
10. Kiti/kimeza kila chumba.......?
11. Sockets/swithes za umeme ...,.....?
12. Sofa set ya reception, TV, meza,.,.......?
13. Matenki ya maji/kisima/pumps......?
14.

Milioni mia zitaishia kwenye furniture and fittings tu.

Hata nyumba ya kuishi, kwa milioni 100 itakuwa ya kawaida sana.

Kama alivyoshauri mdau hapo juu tafuta mtaalam wa ujenzi umueleze ndoto hiyo yako na eneo ulipo ili akushauri vizuri.
 
Milioni mia ni ndogo mno kwa aina ya nyumba unayoitaka, labda itaishia kwenye skeleton tu bila finishing. Vinginevyo nenda TBA
 
1. Room 20 za kisasa
2. Vitanda vikubwa vya kisasa
3. A.c.
4. Maji ya moto, kwa hita kubwa
5. Sweeming pool
6. Michezo ya watoto ya kuteleza kama pale Tanga beach resot na kwingine.
7. Reception safiii
8. Counter ya kisasa nje.
Yaani mimi ni kuanza kutumia tu.
Eneo ni langu Nina 100ml
Wee jamaa hiyo pesa ni dongo sana kwa mpango wako, but kesho njoo nayo hapa maisha basement kuna kitengo sha ushauri wa kitalaamu kwa masuala km hayo, utapata ushauri mzuri sana plz don't miss
 
Ukiomba ushauri JF hutafanya chochote. Kuna watu hapa wanadiriki kusema 100m utajenga nyumba ya kawaida tu na watu hao hao ndio wanaosema NHC au NSSF wanauza nyumba bei ghali(bei inaanzia 50m).
 
4798e7ead936ff4d4eed4dc0fa21b869.jpg
b4227de893f98fa9883e8a9eeea016ca.jpg
e632e0acf3d2f5fce5758794df9b63c5.jpg
Nitakutafuta...im impressed.
 
Bwana mbere weng hum hata kibanda hawana,halaf jf sio sehem ya kuomba ushaur wa maendeleo,humu kuna watu masikin na wenye wivu wa ajab..si unaona comments zao?..100mil ni hela nying kwa ambao tunafaham hayo mambo na ambao tushajenga hzi nyumba,askutishe mtu,hvyo ulivyotaja unaweza vipunguza kwa idad ila lengo lako likatimia..i built 4 apartments za mteja wangu kwa 100mil ila not furnished.ila askukatishe mtu tamaa,nna mjengo wa 24mil ukiuona huwez amin,na bado nashusha mwingne,usiwaskie hawa wapumbav wa jf.maskin hawa wazee wa kukatisha watu tamaa
Ukiomba ushauri humu hutafanya chochote.
 
1. Room 20 za kisasa
2. Vitanda vikubwa vya kisasa
3. A.c.
4. Maji ya moto, kwa hita kubwa
5. Sweeming pool
6. Michezo ya watoto ya kuteleza kama pale Tanga beach resot na kwingine.
7. Reception safiii
8. Counter ya kisasa nje.
Yaani mimi ni kuanza kutumia tu.
Eneo ni langu Nina 100ml
Hapana
 
Subiri kidogo:
1. AC ya kawaida mpya sh 1m, vyumba 20 ni 20m na installation ongeza 3m. Jumla sh 23m.
2. Kitanda cha mbao na gorodo na mashuka na mito kawaida kabisa, andaa laki sita hivi Mara 20 ni kama sh 12m
3. Heater kwa kila bafu ni sh ...... Jumla......m
4. Vyoo vya kukaa 20, kila moja laki mbili unusu......jumla 5m
5. Shower tray and accessories etc ..........?
6. TV kila chumba........?
7. Mapazia kila chumba....?
8. Vitasa vizuri/imara (union?)........?
9. Feni/pangaboi .......?
10. Kiti/kimeza kila chumba.......?
11. Sockets/swithes za umeme ...,.....?
12. Sofa set ya reception, TV, meza,.,.......?
13. Matenki ya maji/kisima/pumps......?
14.

Milioni mia zitaishia kwenye furniture and fittings tu.

Hata nyumba ya kuishi, kwa milioni 100 itakuwa ya kawaida sana.

Kama alivyoshauri mdau hapo juu tafuta mtaalam wa ujenzi umueleze ndoto hiyo yako na eneo ulipo ili akushauri vizuri.
Nilitaka niandike kitu hapa,ila nmeona bas,..ila nauhakika hata kibanda huna,sisi ambao tumejenga tunafaham vzur kua 100mil unajenga tena ua dream house,tatzo jf watoto ni weng sana na stor zao za vijiwen.
 
wasikukatishie tamaa wengi wametoa majibu ambayo hawana utaalamu nayo kwanza pata ramani, tafuta wataalamu wa kutathimini ili kujua gharama vinginevyo watakukatisha tamaa
 
Acha matusi, angekuwa tahira asingekuwa na uwezo wa kuwa na 100 million, si kitu mchezo hasa kwa usawa huu.
Mkuu kuwa na hela nyingi hakukuondolei heshima ya kuwa taahira. Hata huku Usukumani kuna mataahira mengi lakini yana hela siyo mchezo!! Sasa kitu kimeandikwa bilioni 5 yeye anasema milioni 500 hiyo ni akili hiyo?
 
Hiyo millioni mia ni kidogo sana. Aandaa billioni moja. Mimi binafsi sikushauri ujenge hotel,angalia uwekezaji mwingine.
 
Subiri kidogo:
1. AC ya kawaida mpya sh 1m, vyumba 20 ni 20m na installation ongeza 3m. Jumla sh 23m.
2. Kitanda cha mbao na gorodo na mashuka na mito kawaida kabisa, andaa laki sita hivi Mara 20 ni kama sh 12m
3. Heater kwa kila bafu ni sh ...... Jumla......m
4. Vyoo vya kukaa 20, kila moja laki mbili unusu......jumla 5m
5. Shower tray and accessories etc ..........?
6. TV kila chumba........?
7. Mapazia kila chumba....?
8. Vitasa vizuri/imara (union?)........?
9. Feni/pangaboi .......?
10. Kiti/kimeza kila chumba.......?
11. Sockets/swithes za umeme ...,.....?
12. Sofa set ya reception, TV, meza,.,.......?
13. Matenki ya maji/kisima/pumps......?
14.

Milioni mia zitaishia kwenye furniture and fittings tu.

Hata nyumba ya kuishi, kwa milioni 100 itakuwa ya kawaida sana.

Kama alivyoshauri mdau hapo juu tafuta mtaalam wa ujenzi umueleze ndoto hiyo yako na eneo ulipo ili akushauri vizuri.
Umesahau kuongeza vitu Kama mashine ya kufulia (heavy duty), stand by generator, kitchen appliances, na kadhalika.
 
Subiri kidogo:
1. AC ya kawaida mpya sh 1m, vyumba 20 ni 20m na installation ongeza 3m. Jumla sh 23m.
2. Kitanda cha mbao na gorodo na mashuka na mito kawaida kabisa, andaa laki sita hivi Mara 20 ni kama sh 12m
3. Heater kwa kila bafu ni sh ...... Jumla......m
4. Vyoo vya kukaa 20, kila moja laki mbili unusu......jumla 5m
5. Shower tray and accessories etc ..........?
6. TV kila chumba........?
7. Mapazia kila chumba....?
8. Vitasa vizuri/imara (union?)........?
9. Feni/pangaboi .......?
10. Kiti/kimeza kila chumba.......?
11. Sockets/swithes za umeme ...,.....?
12. Sofa set ya reception, TV, meza,.,.......?
13. Matenki ya maji/kisima/pumps......?
14.

Milioni mia zitaishia kwenye furniture and fittings tu.

Hata nyumba ya kuishi, kwa milioni 100 itakuwa ya kawaida sana.

Kama alivyoshauri mdau hapo juu tafuta mtaalam wa ujenzi umueleze ndoto hiyo yako na eneo ulipo ili akushauri vizuri.
1.AC zipo kuanzia 500,000/-
2.Kitanda sio lazima 600,000/-
3.Heater......
4.Vyoo vya kukaa Hotel nyingi za kati wanaweka vya 180,000
5.....
6.TV zipo hadi 300,000/-

Wenye hotels wengi furniture wanaenda kununua wenyewe China.....sooooooo cheap!
 
Back
Top Bottom