julius milla
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 633
- 328
Milioni 375, inamaliza kazi yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na swimming nayo itakuwa ya maturubai?Nadhani wengi humu wanatazama gharama ya matofali,mbao na bati ila nadhani unaweza pata architecture mzuri akadesign ambayo ni ya kipekee yenye kuendana na mahitaji yako.
Tazama hii Maramboi tented camp iko Tarangire,ni very nice place yenye unique design na nyumba zimejengwa juu ila kuta ni turubai tu
Maramboi Tented Camp – TWC
Na swimming nayo itakuwa ya maturubai?
Poa mkuuNimetoa ushauri sio haja ya kuniattack,huwa siko kimajibizano ya mtandaoni
ni kweli. Point yangu ni kuwa kwa mradi anaousema hawezi kuutekeleza kwa milioni 100 ikatosha. Nilikuwa najaribu kujenga hoja kuwa hiyo 100 inaweza kuishia kwenye vitu tu na sio jengo/majengo yenyewe. AC si tu laki tano hata laki tatu unapata, issue ni quality gani.1.AC zipo kuanzia 500,000/-
2.Kitanda sio lazima 600,000/-
3.Heater......
4.Vyoo vya kukaa Hotel nyingi za kati wanaweka vya 180,000
5.....
6.TV zipo hadi 300,000/-
Wenye hotels wengi furniture wanaenda kununua wenyewe China.....sooooooo cheap!
Andika tu. Hii jukwaa huru. Na wengine hata ukiamua kutuita majina hatujali sana mkuu.Nilitaka niandike kitu hapa,ila nmeona bas,..ila nauhakika hata kibanda huna,sisi ambao tumejenga tunafaham vzur kua 100mil unajenga tena ua dream house,tatzo jf watoto ni weng sana na stor zao za vijiwen.
Wewe ndo taahira mwenzio kasema 5bilWewe jamaa ni taahira, hiyo ni 500mln?
Ukijitahidi kubana sana unaweza kujenga ya vyumba vitano1. Room 20 za kisasa
2. Vitanda vikubwa vya kisasa
3. A.c.
4. Maji ya moto, kwa hita kubwa
5. Sweeming pool
6. Michezo ya watoto ya kuteleza kama pale Tanga beach resot na kwingine.
7. Reception safiii
8. Counter ya kisasa nje.
Yaani mimi ni kuanza kutumia tu.
Eneo ni langu Nina 100ml
Haiwezekani[emoji120]1. Room 20 za kisasa
2. Vitanda vikubwa vya kisasa
3. A.c.
4. Maji ya moto, kwa hita kubwa
5. Sweeming pool
6. Michezo ya watoto ya kuteleza kama pale Tanga beach resot na kwingine.
7. Reception safiii
8. Counter ya kisasa nje.
Yaani mimi ni kuanza kutumia tu.
Eneo ni langu Nina 100ml
Mkuu.Nyumba Yako hipo Mkoa gani?hyo ya Million 24Bwana mbere weng hum hata kibanda hawana,halaf jf sio sehem ya kuomba ushaur wa maendeleo,humu kuna watu masikin na wenye wivu wa ajab..si unaona comments zao?..100mil ni hela nying kwa ambao tunafaham hayo mambo na ambao tushajenga hzi nyumba,askutishe mtu,hvyo ulivyotaja unaweza vipunguza kwa idad ila lengo lako likatimia..i built 4 apartments za mteja wangu kwa 100mil ila not furnished.ila askukatishe mtu tamaa,nna mjengo wa 24mil ukiuona huwez amin,na bado nashusha mwingne,usiwaskie hawa wapumbav wa jf.maskin hawa wazee wa kukatisha watu tamaa
Dar es salaam,..not funirshed lakin usi quote vbaya....Mkuu.Nyumba Yako hipo Mkoa gani?hyo ya Million 24
Sio kwelii.ww Nina Uhakika Una Nyumba kabisa na ujawai kujenga,Muwe mna washauli watu ukweliiiDar es salaam,..not funirshed lakin usi quote vbaya....