Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Nilipokwenda ndipo makubaliano yakawa 13500Hardware zote huko cement 13500?
Ili ifike mpaka site.
Ngoja leo niende upya hawa jamaa wananipiga kwa kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipokwenda ndipo makubaliano yakawa 13500Hardware zote huko cement 13500?
Unanunua mifuko mingapi? Kuna umbali gani hadi site?Nilipokwenda ndipo makubaliano yakawa 13500
Ili ifike mpaka site.
Ngoja leo niende upya hawa jamaa wananipiga kwa kweli.
Nilianza na 15Unanunua mifuko mingapi? Kuna umbali gani hadi site?
Hio inaweza kuwa fair price.Nilianza na 15
Umbalii ni kama utoke ubungo mpaka Kagera pale ila jografia ya kule ni milima na mabonde.
Mkuu samahani unaweza nisaidia bei ya ndoo ya rangi lita 20!!??.... AsanteAchana na huyo boya hajui anaongea nin.hana hata kibanda huyu.mi nshajenga na pia nna kampun ya ujenz,..hapa hapa tz tena kariakoo hayo ma sink ya bafun hata 120 nampeleka,nondo,bati ,na takataka zote,mi nkiingia pale kamaka nanunua mzigo wa bei ya chin unaweza usiamin,hao si ndo wanajenga kiboya,..aongee na wenzie,..mi gypsum had ya elf10 najua inapatkana wap,sasa yeye akienda atapigwa elf16,..cement tena namba 42 mi nanunua kwa 10,..misumari,sjui takataka zoote,sasa yeye anajenga bila kutumia akil,hapa mjin bana,
Kuna ya lak120 na kuna ya elf35-40,..pesa yako tuu ila hyo ya 120 ni emulsion,..boora kabsa,miaka 800Mkuu samahani unaweza nisaidia bei ya ndoo ya rangi lita 20!!??.... Asante
Mil 100 hata nyumba ya Kuishi tu ya kawaida haitoboi...Wewe unaongelea kujenga hotel kweli!?1. Room 20 za kisasa
2. Vitanda vikubwa vya kisasa
3. A.c.
4. Maji ya moto, kwa hita kubwa
5. Sweeming pool
6. Michezo ya watoto ya kuteleza kama pale Tanga beach resot na kwingine.
7. Reception safiii
8. Counter ya kisasa nje.
Yaani mimi ni kuanza kutumia tu.
Eneo ni langu Nina 100ml
Pesa ndogo Sana hiyo1. Room 20 za kisasa
2. Vitanda vikubwa vya kisasa
3. A.c.
4. Maji ya moto, kwa hita kubwa
5. Sweeming pool
6. Michezo ya watoto ya kuteleza kama pale Tanga beach resot na kwingine.
7. Reception safiii
8. Counter ya kisasa nje.
Yaani mimi ni kuanza kutumia tu.
Eneo ni langu Nina 100ml
Kama ni Motel Ya Makuti inatosha sana hiyo na watalii ndio wanapenda
Mambo ya miujiza ya Yesu haya, samaki wawili kulisha watu 3,000
Nitembelee Dodoma kwenye guest uchwara zenu?!!
Tena overpriced.Dodoma hotel nzuri labda mbili au moja tu na nyingi hovyoooo mbayaa
Jamen 😂😂Tena overpriced.
Napenda Mwanza bei ziko reasonable...mf MIPA wanabei nzuri na vyumba kama uko Guangzhou
Ndo ukweli huo, chumba cha MIPA ni kizuri mno ila Dodoma utakipata kwa 200+ wakati MIPA ni 70 kwa wateja wa kujirudia kama sisi tunapewa discount hadi 60Jamen [emoji23][emoji23]
HongeraNdo ukweli huo, chumba cha MIPA ni kizuri mno ila Dodoma utakipata kwa 200+ wakati MIPA ni 70 kwa wateja wa kujirudia kama sisi tunapewa discount hadi 60