Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo DM tuyajenge mkuuKuanzia tena? Mi nataka kazi iliyokamilika
HahahaaaLabda hiyo million 100 ni ya ndagu
Ahahahaaa. ..Mambo ya miujiza ya Yesu haya, samaki wawili kulisha watu 3,000
Na kwa kuongezea, hata hao wanaotaka tuwaone kama ni wajenzi au wenye taaluma ya ujenzi hawajawahi kujenga hata banda la kuku!!!Bwana mbere weng hum hata kibanda hawana,halaf jf sio sehem ya kuomba ushaur wa maendeleo,humu kuna watu masikin na wenye wivu wa ajab..si unaona comments zao?..100mil ni hela nying kwa ambao tunafaham hayo mambo na ambao tushajenga hzi nyumba,askutishe mtu,hvyo ulivyotaja unaweza vipunguza kwa idad ila lengo lako likatimia..i built 4 apartments za mteja wangu kwa 100mil ila not furnished.ila askukatishe mtu tamaa,nna mjengo wa 24mil ukiuona huwez amin,na bado nashusha mwingne,usiwaskie hawa wapumbav wa jf.maskin hawa wazee wa kukatisha watu tamaa
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa no.0622 530 839
Mi pia nimejenga mkuu ninakoishi na nilisimamia mwenyewe na niliibiwa ibiwa mtu akiniambia 100ml haitoshi completely nashanga sanaNa kwa kuongezea, hata hao wanaotaka tuwaone kama ni wajenzi au wenye taaluma ya ujenzi hawajawahi kujenga hata banda la kuku!!!
Inawezekana ni kweli wana moja ya taaluma zinazohusiana na ujenzi lakini wanazo kwenye makaratasi tu huku cost estimation zao zikiwa ni zile walizokuwa wanafanya vyuoni kwa kutumia complex projects zenye lots of administrative and logistic needs na hivyo kuongeza gharama ambazo private client hawezi kuwa nazo.
U
Inategemea mkuu mimi pia Nina nyumba na nimesimamamia mwenyewe wakati wa ujenzinimejenga nyumba room 4 self ...imekula zaid ml 60...hyo 100 yako bora uwahi kula kuliko iliwe na mafundi
Una ushauri mzuri. Ila punguza kidogo kumdanganya jamaa.Bwana mbere weng hum hata kibanda hawana,halaf jf sio sehem ya kuomba ushaur wa maendeleo,humu kuna watu masikin na wenye wivu wa ajab..si unaona comments zao?..100mil ni hela nying kwa ambao tunafaham hayo mambo na ambao tushajenga hzi nyumba,askutishe mtu,hvyo ulivyotaja unaweza vipunguza kwa idad ila lengo lako likatimia..i built 4 apartments za mteja wangu kwa 100mil ila not furnished.ila askukatishe mtu tamaa,nna mjengo wa 24mil ukiuona huwez amin,na bado nashusha mwingne,usiwaskie hawa wapumbav wa jf.maskin hawa wazee wa kukatisha watu tamaa
UnawashwaUnafurahisha sana!Hiyo watafute watalamu wa expansion joint ndio wanaweza miujiza ya kufanya hayo yote kwa pesa kidogo kama hiyo
Sio atafute injinia wapige hesabu .inabidi atafute Qs ndio wapige hesabu ya gharama za ujenzi wakati huo architect akiwa ameshaandaa michoro yotembere
Cha kwanza kufanya Tafuta ramani yako au mwelezee mtu akucholee ramani ya iyo motel unayotaka
Pili mtafute engineer mpige hesabu ya matofali yanayotakiwa ....Jumla ya kujenga iyo motel unayotaka.. na ghalama ya mafundi na vibali vya ujenzi
Tatu.. Utakuwa umepata Jibu kama inatosha au..........................
Nne... Ata simple lodge unaweza jenga na Pesa itakayobaki ukafanyia mambo mengine
Tano: sio lazima iwe dar kuna sehemu kama iramba-singida.... wekeza sehemu ambayo unaweza ukatumia cost ndogo lakini unapiga hesabu iyo sehemu inaweza kuja kuwa kubwa kimaendeleo
Mimi nitakuandalia design ya mchoro wa motel simple na landscaping kwa na pia nitakupigia gharama zote za ujenzi kuanzia msingi hadi finishing ili kuendana na budget yako ya mil 100.lakini swimming pool halitakuwepo .Sijakuelewa mkuu wangu utahira wangu uko wapi hapo? Wewe ndo umeandika figure tofauti na yangu sasa sijui nani taahira