Nina Milioni 16, naombeni ushauri

Nina online program ya bure ninayofundisha watu namna ya kupata wazo la biashara Fasta. Nenda hapa Wazo Fasta
 
Mkuu hii hela umeipataje mpaka hujui cha kufanya?
 
Naiomba
 
anza ata na laki tano tu agiza vitu china lete bongo niajili mm kama marketing officer wako hutojutia. mm napenda san ila mtaji ndo mdogo
 
Samahani, ila ukweli nikwamba pesa imeenda pahali pasipostahili. Nashauri unyang'anywe hiyo pesa hadi siku utayojua kazi ya pesa ninini.

Pesa inatafutwa kwa kusudi fulani, sio kwenda tu kutafuta. Kama huna kusudi la kutafuta pesa, hiyo pesa igawe na uache kazi. Ukipata kusudi utatafuta tena.
 
Ingia kwenye kufuga kuku wa mayai baada miezi mitatu huto juta
 
Kibarua miaka mitatu unamiliki pesa nyingi hivyo kwanini usiendelee na vibarua hivyo miaka mitatu mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…