Nina Milioni 16, naombeni ushauri

Nina Milioni 16, naombeni ushauri

Ukiwa unafikiria kazi ya kufanya, ziweke kwenye fixed account. Au kama una washikaji waaminifu kopesha kwa riba, tena hii inalipa sana ni swala ni uaminifu.
Asithubutu kukopesha wanaume atakula hasara...mm naifanya hii biashara na major clients wangu ni wanawake...mwanaume akija kukopa namwambia sina.
 
Back
Top Bottom