Kwa maan hio mtaji wa milion 6 upate faida milion moj kw miezi 3. , approximately kw mwez faid lak 3 .Nitaipata 7mil kwa sababu ninayo 6mil tayari
Yes mkuu! KaribuKwa maan hio mtaji wa milion 6 upate faida milion moj kw miezi 3. , approximately kw mwez faid lak 3 .
Nunua boti wape vijana wakavue samaki
Kwahiyo hela za kubet unaziona ni rahisi? Hakuna pesa ngumu kama ya kubetHauna hizo hela
Haujatafuta wewe
Labda za urithi
Umebet au umeiba
Lakini kama umetafuta wewe mwenyewe huwezi kosa cha kufanyia
Asithubutu kukopesha wanaume atakula hasara...mm naifanya hii biashara na major clients wangu ni wanawake...mwanaume akija kukopa namwambia sina.Ukiwa unafikiria kazi ya kufanya, ziweke kwenye fixed account. Au kama una washikaji waaminifu kopesha kwa riba, tena hii inalipa sana ni swala ni uaminifu.