nina biashara za kawaida lakini nimeona nijaribu na online kwa bajeti ya milioni 2 kama kuna mawazo feasible.
so far nilipanga niwekeze youtube ila shida ni kwamba sina account ya Youtube adsense, nina rafiki yangu yupo states aliwahi kunipa wazo hilo kibongo bongo views buku kwa wastani ni around buku 2 ya madafu, anyway kwangu ilishindakana ila nisiwe mchoyo nitashea kwenu wenye account nanyi mnaweza kunisaidia mawazo mbadala, mchongo ulikuwa ni kumpa kazi muandishi professional awe anaandika script kwa mpangilio wa kuvutia, baada ya hapo nimpe kazi mtu mwengine mwenye sauti ya mvuto kuingiza vocal / voice over kwa kufuatisha maneno yaliyoandikwa, kisha mimi ninunue software ya video editing niwe napachika picha za watu, vitu au matukio maarufu kulingana na script. video moja ingegharimu wastani wa shilingi elf 50 then nasubiria views.
so nimeona niangalie mibadala kwa mawazo yenu wanatech wa jf, nijaribu biashara ipi ya online ?
n.b. sihitaji kujihusisha na biashara yoyote ya betting, forex, sarafu za kidihitali, pyramids na zifananazo.