Nina milioni 20. Nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na rejareja

Hongera sana mkuu, office nzuri sana.

Kwa faida ya wengi fafanua hapa, minimum startuo capital na mengine mengi ya kuzingatia kwenye hiyo biashara.
 
Bro naomba uwe mentor kwa sector hii
 
Good idea
 
Hongera sana mkuu, office nzuri sana.

Kwa faida ya wengi fafanua hapa, minimum startuo capital na mengine mengi ya kuzingatia kwenye hiyo biashara.

Hapa capital milion 8 tu Mkuu

Million 2 nilifanyia maandalizi ya project kusafisha eneo na kutoa visiki na kufanya planning kwa ujumla

Kila accre Tsh 300k Total = 600k
Ku design barabara 400k
Kukata viwanja na kutengeneza bicon zake 576
Tsh 900k

Jumla ya maandaizi project mzima Tsh 1.9

Kikubwa cha kuzingatia ni zone unapotaka kukufanya biashara [emoji1370]

fanya research ya bei ya mashamba na kufatilia ualali wa wamiliki na ramani zake kwa watu wa mipango miji hasa kwa town planners.

Watakupa muongozo utakao kuwezesha kujua maeneo yalio ya makazi.

Lakini pia wakati wa ununuzi make sure usipime eneo kwa tape tumia GPS itakupa vipo sahihi vya ukubwa wa eneo.
 
Hongera office nzuri... tufafanulie hapa hapa mkuu

Brother sorry kwa swali lingine...

Capital ya 8M ni pamoja na kunua shamba, kusafisha, kukata viwanja hadi kukodi office?
 
Inaonekana ni uwekezaji mzuri sana , lakini linahitajjka somo kubwa juu ya maswala ya ardhi hapa...! Viwanja vyako umeshavipima tayari je unafanyaje vitambulike kiserikali.. au ni ule wakato wa ufatiliaji wa hati?
 
Mpaka sasa nimeuza viwanja 28 nimeweza kupata office na equipments zake usafiri Rav 4 old model
Kwa ajili ya kupeleka wateja site na cash nyingine ipo bank.

Naanza kutafuta project Mpya eka tatu au nne.
 
Sio somo kubwa sana ni kawaida tu mi mwenyewe sikuwa na uzoefu Bali ni ile tu kujituma na kuwa na njaa ya mafanikio.

Lakini pia la kiserekali ya kijiji na kitongoji huwa natoa taarifa na hati za awali huwa wanatoa wao kama wasamizi wa mauziano ya ardhi na ushuru 10% huwa nalipa kwa kilia kiwanja.
 
Mpaka sasa nimeuza viwanja 28 nimeweza kupata office na equipments zake usafiri Rav 4 old model
Kwa ajili ya kupeleka wateja site na cash nyingine ipo bank.

Naanza kutafuta project Mpya eka tatu au nne.

Pis unauza kwa cash au na kwa mkopo?
 
Huu ushuru ni baada ya wewe kuuza kiwanja?
 
Kwenye miti hakuna wajenzi, una 20 ml unauliza watu ufanye biashara gani?
Nitumie lugha ya hayati magufuli kwamba mambo mengine ya Ajabu kabisa!
 
Nadhani kila mtu anakushangaa mkuu, hata kusoka hujui?

Kichwani umejaza mawe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…