Nina milioni 20. Nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na rejareja

Nina milioni 20. Nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na rejareja

Ebu tupe mrejesho kuhusu hiyo biashara ya perfumes inasongaje mpaka sahivi tupe apdate
Mkuu biashara ya perfumes vipi! Tupe madini na sisi basi maana ushakuwa konki naamini
 
Kikawaida biashara yeyote inaweza kuingiza kiasi hiko au hata zaidi mkuu! Issue ni wewe mfanyabiashara, uweke mbinu itakayokufikisha hapo kwenye 200k


Sent from my iPhone using JamiiForums
Acha ujuaji umekuja kuomba ushauri ….nimejaribu kupitia reply zako naona una kaujua flan hv ambako kabla ya kuanza biashars inabidi ukaache or hutotoboa….sikiliza ushauri unaopewa kama unaona haufai basi nenda china na dola elfu nane zako tuone utaishia wapi
 
Back
Top Bottom