Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo 3 au zaidi ya hiyo kila wiki au biashara ipi itakayo nilipa sana na kwa haraka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto za mchana watu wanawekeza 50m na kwa siku hawapati faida zaidi ya 100,000, alijitahidi sana 3m kwa mwezi. Biashara bongo ni ngumu sana sio kama unavo fikiria bwashaa.Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo 3 au zaidi ya hiyo kila wiki, au biashara ipi itakayo nilipa sana na kwa haraka
Ziogope sana biashara unazoambiwa zitakupa faida kubwa ndani ya muda mfupi.Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo 3 au zaidi ya hiyo kila wiki, au biashara ipi itakayo nilipa sana na kwa haraka
Kama uko serious tuagize Oxygen concentration devices tusambaze kwenye hospitals na watu binafsi, ni mfumo mzuri kwa sasa wakusaidia wenye matatizo ya kupumua especially kwenye janga ili la Covid.Hii ni guarantee to make double profit nawasiliana na manufacturer.Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo 3 au zaidi ya hiyo kila wiki, au biashara ipi itakayo nilipa sana na kwa haraka
Pia ni vyema kuangalia upande wa pili, Hasara.biashara ipi itakayo nilipa sana na kwa haraka
Hiyo ni risky sanaa tena kwasasa hivi 25m kwenye biashara za bongo sio nyingi ni peanut....nikupe mfano mzuri sasa hivi kuna wimbi la mini supermarket hapa dar ila jiulize mtaji wao na faida yao ni shilling ngapi?......kwa uzoefu wangu minisuper Market ya kawaida yenye liquors za kutosha sio chini ya 50m, ila mauzo tu kwa siku ni 300k to 500k, na kawaida faida ya supermarket ni 2% ya mauzo sasa hapo jiulize faida yake ni shillings ngapi kwa mauzo ya 500k........Ziogope sana biashara unazoambiwa zitakupa faida kubwa ndani ya muda mfupi.
Anyway jaribu kupeleka mbao na mchele kule dodoma au dar.
Au waweza anzisha minibank eneo ulilopo, ukishindwa chukua milion 5, nunua kuku 100 wa mayai wenye umri wa miezi miwili, mwezi unaofuatia wanaanza kutaga. Kusanya mayai tafuta hoteli na sehemu za chipsi uza. Wauzie hata watengeneza keki.
Hiyo 20 inayobaki itunze. Maana kama una hela nyingi hivyo na hujui biashara ya kufanya basi jua ya kwamba unaelekea kuipoteza hiyo hela yote.
Mungu akuongoze ndugu yangu.
Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo 3 au zaidi ya hiyo kila wiki, au biashara ipi itakayo nilipa sana na kwa haraka
Hakuna sehemu niliyozungumzia minsupermarket hapo..Hiyo ni risky sanaa tena kwasasa hivi 25m kwenye biashara za bongo sio nyingi ni peanut....nikupe mfano mzuri sasa hivi kuna wimbi la mini supermarket hapa dar ila jiulize mtaji wao na faida yao ni shilling ngapi?......kwa uzoefu wangu minisuper Market ya kawaida yenye liquors za kutosha sio chini ya 50m, ila mauzo tu kwa siku ni 300k to 500k, na kawaida faida ya supermarket ni 2% ya mauzo sasa hapo jiulize faida yake ni shillings ngapi kwa mauzo ya 500k........
Yani ndani ya mwezi mmoja hela yake iwe imerudi na aanze kula faidaPia ni vyema kuangalia upande wa pili, Hasara.
- Iwapo faida ni kubwa, basi pia hasara ya biasha tegemea kuwa kubwa.
- Kwa kuwa matarajio ni kupata m25/3 kila wiki basi pia, tegemea kupoteza m25/3 kwa wiki iwapo biashara itaenda ndivyo sivyo.
The Most Important Rule of Investing: "never invest money that you can't afford to lose."
Ila swali la msingi linabakia pale pale kuwa ni biashara gani hiyo?? itakayokupa faida ya asilimia ya asilimia 33 ( 33%) ya mtaji wako kila wiki?? 🤔
Nimetoa mfano huo kuonyesha kwamba hiyo pesa yake ni ndogo mkuu... hata min credit microfinance kupewa leseni ni lazima uwe na bank deposite isio pungua 80m, uonyeshe uweze wa kuhudumia wateja wako kwa wakati wowote, sasa 25m haifiki hata minimum requirement deposit.Hakuna sehemu niliyozungumzia minsupermarket hapo..
Nimezungumzia minbank...awe wakala wa crdb, nmb ,airtel, na vingine huko.
Mkuu kuku gani hao wanaotaga wakiwa na umri wa miezi 3?Ziogope sana biashara unazoambiwa zitakupa faida kubwa ndani ya muda mfupi.
Anyway jaribu kupeleka mbao na mchele kule dodoma au dar.
Au waweza anzisha minibank eneo ulilopo, ukishindwa chukua milion 5, nunua kuku 100 wa mayai wenye umri wa miezi miwili, mwezi unaofuatia wanaanza kutaga. Kusanya mayai tafuta hoteli na sehemu za chipsi uza. Wauzie hata watengeneza keki.
Hiyo 20 inayobaki itunze. Maana kama una hela nyingi hivyo na hujui biashara ya kufanya basi jua ya kwamba unaelekea kuipoteza hiyo hela yote.
Mungu akuongoze ndugu yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Labda illegal b'nessNipo hapa kuwasaidia wasiojua hesabu:
0.25 × 25,000,0000=6,250,000
Jamaa anataka biashara ambayo itamuingizia 6.25 Million kwa wiki moja kwa Mtaji wa Million 25.
Yaani ndani ya Mwezi mmoja awe amepata faida ya Million 25. Yaani kwa mwaka mmoja (52 weeks) awe na faida ya Million 325.
Yaani kwa mwaka awe na Jumla ya Million 350, ukijumlisha na mtaji wake.
Biashara mimi sijui, ila hesabu najua. Hayo mtamshauri ninyi.
Aisee!
Nina kitabu cha ufugaji wa kuku ni PM nikutumie kwa bei elekezi.Mkuu kuku gani hao wanaotaga wakiwa na umri wa miezi 3?
Nashkuru mkuu Ila nataka kukuhakikishia hakuna kuku ambae anaweza kutaga akiwa na umri wa miezi 3, labda ungesema ananunua kuku let's say Wana umri wa miezi 4 alafu yeye akae nao Kwa mwezi 1 waanze kutaga ili apunguze gharama za chakula na risk za kupoteza kuku wengi kutokana na magonjwaNina kitabu cha ufugaji wa kuku ni PM nikutumie kwa bei elekezi.
🤣🤣🤣Ha ha ha ha maisha yangekuwa rahisi hivyo atakavyo basi tungeishi milele duniani....Nipo hapa kuwasaidia wasiojua hesabu:
0.25 × 25,000,0000=6,250,000
Jamaa anataka biashara ambayo itamuingizia 6.25 Million kwa wiki moja kwa Mtaji wa Million 25.
Yaani ndani ya Mwezi mmoja awe amepata faida ya Million 25. Yaani kwa mwaka mmoja (52 weeks) awe na faida ya Million 325.
Yaani kwa mwaka awe na Jumla ya Million 350, ukijumlisha na mtaji wake.
Biashara mimi sijui, ila hesabu najua. Hayo mtamshauri ninyi.
Aisee!
Kweli aje huko ulikomuelekeza....Njoo kweny betting mkuu fraha kidogo huzun ni kubwa kwa pesa hiyo ndan ya dk 90 unaweza kupata faida ml 100 au kupigwa yote ndan ya dk 90
Mtaji wote unaisha Hahaha.Njoo kweny betting mkuu fraha kidogo huzun ni kubwa kwa pesa hiyo ndan ya dk 90 unaweza kupata faida ml 100 au kupigwa yote ndan ya dk 90