500,000 x 2/100 = 10,000Hiyo ni risky sanaa tena kwasasa hivi 25m kwenye biashara za bongo sio nyingi ni peanut....nikupe mfano mzuri sasa hivi kuna wimbi la mini supermarket hapa dar ila jiulize mtaji wao na faida yao ni shilling ngapi?......kwa uzoefu wangu minisuper Market ya kawaida yenye liquors za kutosha sio chini ya 50m, ila mauzo tu kwa siku ni 300k to 500k, na kawaida faida ya supermarket ni 2% ya mauzo sasa hapo jiulize faida yake ni shillings ngapi kwa mauzo ya 500k........
Kiongozi i am sorry kwani hizo hela umeziokota au umehongwa? How come upambane kupata 25M na usijue nini cha kufanya nayo?Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo 3 au zaidi ya hiyo kila wiki, au biashara ipi itakayo nilipa sana na kwa haraka
We jamaa umefanya mwana aonekane hayuko serious na hajui anataka nini๐๐Nipo hapa kuwasaidia wasiojua hesabu:
0.25 ร 25,000,0000=6,250,000
Jamaa anataka biashara ambayo itamuingizia 6.25 Million kwa wiki moja kwa Mtaji wa Million 25.
Yaani ndani ya Mwezi mmoja awe amepata faida ya Million 25. Yaani kwa mwaka mmoja (52 weeks) awe na faida ya Million 325.
Yaani kwa mwaka awe na Jumla ya Million 350, ukijumlisha na mtaji wake.
Biashara mimi sijui, ila hesabu najua. Hayo mtamshauri ninyi.
Aisee!
Apa hakuna ukweli,haiwezekan ukapata 2% kwenye mauzo ya siku km faida.Kama hvyo biashara nyng zingekua zishafungwa.Hiyo ni risky sanaa tena kwasasa hivi 25m kwenye biashara za bongo sio nyingi ni peanut....nikupe mfano mzuri sasa hivi kuna wimbi la mini supermarket hapa dar ila jiulize mtaji wao na faida yao ni shilling ngapi?......kwa uzoefu wangu minisuper Market ya kawaida yenye liquors za kutosha sio chini ya 50m, ila mauzo tu kwa siku ni 300k to 500k, na kawaida faida ya supermarket ni 2% ya mauzo sasa hapo jiulize faida yake ni shillings ngapi kwa mauzo ya 500k........