Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Biashara ni kipaji mkuuMzidi kuajiriwa tu 9am-5pm...
Kama ni kweli, nyie siyo wajasiriamali...haiingii akilini, vichwa viwili mume na mke mchukue mkopo halafu kama mazuzu hamjui nini mnataka kufanya..
Mzitoe hizo hela benki mlale nazo kitandani!
Everyday is Saturday.......................... 😎
Sio kila mtu anafitMzidi kuajiriwa tu 9am-5pm...
Kama ni kweli, nyie siyo wajasiriamali...haiingii akilini, vichwa viwili mume na mke mchukue mkopo halafu kama mazuzu hamjui nini mnataka kufanya..
Mzitoe hizo hela benki mlale nazo kitandani!
Everyday is Saturday.......................... 😎
Wazo zuri Sana hili asipofanyia kazi imekula kwakeKuwa wakala mdogo wa kuuza pombe/vilevi
- Tafuta fremu ya kuridhisha
- Sajili jina la biashara
- Tafuta leseni
- Nunua kirikuu 5M
- Anza na kreti 500 za bia
- Anza kuuza rejareja na jumla
- Anza kula faida na kurudisha mkopo
Ukifeli sehemu unadhan wote wanafeli pia, wenye daladala 5 je? anakua konda kwenye daladala zote?Usijichanganye hata kidogo kununua daladala....utalia.
Ukinunua daladala basi we uwe konda mpk pale utakapoona pesa yako atleast imerudi.
Zingatia nnayokwambia, yalishanikuta.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
kisumapai nunua tata mpya peleka mwanza kuna kjj nmetoka huko kina dala dala mbili tu nauli 5000 per headMimi pamoja na mke wangu ni watumishi wa serikali tumekaa pamoja tumeshauliana tumeamua kuchukua mkopo wa mil 45 lakini tatizo tulilonalo hatuna idea yoyote ya biashara maana kazini tunaenda asubuhi na kurudi jioni.
Japo mungu ametujalia tumeweza kujikwamua na kujenga nyumba ya kuishi maeneo ya boko chasimba.
Shida yangu kwenu je ni biashara gani naweza kufanya ili tuweze kujipatia kipato cha ziada bila kuaribu utaratibu wa kazi maana ikifika tarehe 14 wote tunakuwa tumeishiwa tunabakia ndani kuangalia CD za kikorea na kijapani.
Mawazo niliyokuwa nayo ni÷
1. Ninunue daladala ya habiria.
2. Ninunue bodaboda 5
3. Ninunue bajaji mbili
4. Nifuge kuku wa nyama
Maana siwezi kuweka fixed account kwakuwa pesa yenyew ni ya mkopo ushauri wenu ndugu zangu lakini wazo la daladala ndo tumelipa kipau mbele kikubwa naomba kwa mwenyewe uzoefu na iyo biashara ya daladala anipe msaada kwa umakini maana makato ya miaka 5 sio powa kabisa
huo uzoefu unaupatia wapi? ndotoni au? this is 2020 sio 80's , kuna njia maelfu ya kuendesha biashara, technology imerahisisha sana kila kituNatamani sana kukushauri sema shida hamna msimamizi wote mko kwenye ajira.hiy o hela ni nyingi sana kama ulikuwa umejiajiri au mke ana uzoefu wa biashara.
Ila kununua chombo cha usafiri uwe na moyo wa uvumilivu la sivyo unaweza pata presha ukafa [emoji3].
Babangu aliniambia siku moja kuwa ni bora ununue mkaa uuze na kopo kidog kidogo utaona faida kuliko hizi biashara za kudanganywa na watu wa fursa kama kulima matikiti cjui kununua bajaj....ni nzuri kama una uzoefu nayo ila kama huna hapo ni kama unacheza kamari.ukipata sawa na ukipoteza ni kama unajifunza
Kwanza ni kosa kuchukua mkopo kwa madhumuni ya biashara ilihali hauna hiyo biashara bado na wala hujui biashara,cha msingi hapo chukua milion 30 nzima ifungie kwa account usiitoe kwa faida ya baadae,then 15M ndo anza nayo kulingana na ushauli wa watu utakao ona unakufaa,biashara nyingi zina changamoto sana unaweza kukaanga hiyo milion 45 kwa mwaka mmoja tu,amini usiamini..biashara siyo mtaji kwanza,biashara ni fikra kwanza na uthubutu..biashara ni tabia,waweza fanya biashara hata ya mtaji wa laki tano mpaka uzoee biashara ndo uwe unaongeza kidogo kidogoMimi pamoja na mke wangu ni watumishi wa serikali tumekaa pamoja tumeshauliana tumeamua kuchukua mkopo wa mil 45 lakini tatizo tulilonalo hatuna idea yoyote ya biashara maana kazini tunaenda asubuhi na kurudi jioni.
Japo mungu ametujalia tumeweza kujikwamua na kujenga nyumba ya kuishi maeneo ya boko chasimba.
Shida yangu kwenu je ni biashara gani naweza kufanya ili tuweze kujipatia kipato cha ziada bila kuaribu utaratibu wa kazi maana ikifika tarehe 14 wote tunakuwa tumeishiwa tunabakia ndani kuangalia CD za kikorea na kijapani.
Mawazo niliyokuwa nayo ni÷
1. Ninunue daladala ya habiria.
2. Ninunue bodaboda 5
3. Ninunue bajaji mbili
4. Nifuge kuku wa nyama
Maana siwezi kuweka fixed account kwakuwa pesa yenyew ni ya mkopo ushauri wenu ndugu zangu lakini wazo la daladala ndo tumelipa kipau mbele kikubwa naomba kwa mwenyewe uzoefu na iyo biashara ya daladala anipe msaada kwa umakini maana makato ya miaka 5 sio powa kabisa
Mimi pamoja na mke wangu ni watumishi wa serikali tumekaa pamoja tumeshauliana tumeamua kuchukua mkopo wa mil 45 lakini tatizo tulilonalo hatuna idea yoyote ya biashara maana kazini tunaenda asubuhi na kurudi jioni.

Anapigwa mtu asubuhi asubuhi hapa.Kama kweli umeamua kuingia kwenye biashara Watu wametoa mawazo mengi mazuri sana tu...yafanyie Kazi ondoa uoga kabisa.
Zaidi sana huu ni msimu wa mavuno ,mpunga,mahindi,maharange n.k..,binafis nakuomba ufanye biashara ya mpunga ndani ya miezi mitano hii,yaan sita hadi wa 11 utaweza Ku pata faida nusu au zaidi ya mtaji wako.(sio uanze na pesa zote hizo).. Anza hata na million 10 tu,zingine wekeza tena kwenye biashara zingine.
Biashara ya mpunga au mchele kwa miezi hii ,kuna uwezekano mzuri sana wa kupata faida,ingia porini nunua mpunga kwa bei rahisi nenda kakoboe mashineni uza mchele..zama tena porini.
Kama unaweza zaidi tunaweza kusaidiana kwa makubaliano ya kisheria tukafanya pamoja hiyo biashara kwa sababu nina ujuzi na uzoefu wa kutosha.
Tuwasiliane na pia angalia ushauri wangu na mawazo yangu ambayo nilishawahi kuandika humu...uone labda tunaweza kufanya kitu kwa pamoja.
Asante.
huo uzoefu unaupatia wapi? ndotoni au? this is 2020 sio 80's , kuna njia maelfu ya kuendesha biashara, technology imerahisisha sana kila kitu
Je nifanye nini ndugu maana na hela nshaichukua
Mimi pamoja na mke wangu ni watumishi wa serikali tumekaa pamoja tumeshauliana tumeamua kuchukua mkopo wa mil 45 lakini tatizo tulilonalo hatuna idea yoyote ya biashara maana kazini tunaenda asubuhi na kurudi jioni.
Japo mungu ametujalia tumeweza kujikwamua na kujenga nyumba ya kuishi maeneo ya boko chasimba.
Shida yangu kwenu je ni biashara gani naweza kufanya ili tuweze kujipatia kipato cha ziada bila kuaribu utaratibu wa kazi maana ikifika tarehe 14 wote tunakuwa tumeishiwa tunabakia ndani kuangalia CD za kikorea na kijapani.
Mawazo niliyokuwa nayo ni÷
1. Ninunue daladala ya habiria.
2. Ninunue bodaboda 5
3. Ninunue bajaji mbili
4. Nifuge kuku wa nyama
Maana siwezi kuweka fixed account kwakuwa pesa yenyew ni ya mkopo ushauri wenu ndugu zangu lakini wazo la daladala ndo tumelipa kipau mbele kikubwa naomba kwa mwenyewe uzoefu na iyo biashara ya daladala anipe msaada kwa umakini maana makato ya miaka 5 sio powa kabisa
Mimi pamoja na mke wangu ni watumishi wa serikali tumekaa pamoja tumeshauliana tumeamua kuchukua mkopo wa mil 45 lakini tatizo tulilonalo hatuna idea yoyote ya biashara maana kazini tunaenda asubuhi na kurudi jioni.
Japo mungu ametujalia tumeweza kujikwamua na kujenga nyumba ya kuishi maeneo ya boko chasimba.
Shida yangu kwenu je ni biashara gani naweza kufanya ili tuweze kujipatia kipato cha ziada bila kuaribu utaratibu wa kazi maana ikifika tarehe 14 wote tunakuwa tumeishiwa tunabakia ndani kuangalia CD za kikorea na kijapani.
Mawazo niliyokuwa nayo ni÷
1. Ninunue daladala ya habiria.
2. Ninunue bodaboda 5
3. Ninunue bajaji mbili
4. Nifuge kuku wa nyama
Maana siwezi kuweka fixed account kwakuwa pesa yenyew ni ya mkopo ushauri wenu ndugu zangu lakini wazo la daladala ndo tumelipa kipau mbele kikubwa naomba kwa mwenyewe uzoefu na iyo biashara ya daladala anipe msaada kwa umakini maana makato ya miaka 5 sio powa kabisa
Asante sana kwa mawazo yako naendelea kujifunza mengi kupitia jukwaa ili japo kuna wengine wananibeza na kuona kama sina akili .Ndugu zangu Tambua sisi binadamu tumezidiana uelewa wa mambo ata mimi ukija katika upande wangu wa kazi basi najua kila kitu mpka nisipokuwepo kazini dhairi ofisi inaona pengo langu pia ndo hivyo hivyo kwa maisha ya mtaani kuna watu wanajua mambo mengi kulingana na sector mtu anayoitegemea kuingizia kipato kwahiyo msinibeze na kuona kama nimekurupuka kuchukua huo mkopo. Ndo maana nimesema kuwa hizi hela sio kama narudisha mkononi hapana nakatwa moja kwa moja kwenye mshahara kwahiyo ata ningefeli au kufanikiwa sio kama benki itanifilisi hapanaGunia la mpunga hivi sasa ni 42000 anaekununulia anakula 2000 kwakila gunia pia ushuru kila gunia1500 usafiri kwakila gunia kutoa porin hadi stoo2000 vibega kupakia na kushusha1000 mfuko wakuhifadhia tsh800 wafuata mpunga polini ndani ndani kila gunia1000 kuhifadhi stoo1500 kwaiyo gharama zote pamoja ununuzi gunia litakua ni 51800 utakuja kuuza kila gunia ifikikapo december kwa kima cha chini soko likiwa baya utauz tsh 80000 kwaiyo utakua na faida ya tsh 28200 kwa kila gunia.ila ukitaka usiuze mpunga uje uuze mchele yaan ukoboe huo mpunga uwauzie walanguz wa mchele wanaotaka dar uganda nakwingneko gharama itaongezeka kwenye kukoboa ambayo kila kilo utakobolea tsh50 kwaiyo gunia la kilo tisini utalikoboa kwa tsh3000 hapo mchele bei ya jumla utakuta imefika 1700 kwaiyo utazidisha mara kilo60 kila gunia ndo litao hizo kilo za mchele kwaiyo utapata faida ya tsh 47200 sasa zidisha mara gunia utakazo kua na zo stoo utaona faida kias gani umepata ndani ya miez isiyo zidi 10
Asante kwa ushauri nduguKuwa wakala mdogo wa kuuza pombe/vilevi
- Tafuta fremu ya kuridhisha
- Sajili jina la biashara
- Tafuta leseni
- Nunua kirikuu 5M
- Anza na kreti 500 za bia
- Anza kuuza rejareja na jumla
- Anza kula faida na kurudisha mkopo