macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Huu msemo huwa watanzania wengi tunaupenda. Hata kitu ambacho hakiozi kisipouzika kwa wakati ni hasara. Kama una stock ya milioni 50 ya building hardware usipouza kwa muda wa miezi sita halafu ukaja uza mara moja kwa sh milioni 100 kama expenses kwa muda wote ambao hukuuza hazijawa covered up nayale mauzo na faida kubaki basi unakuwa hujafanya chochote.Jaribu Hardware,ila angalia location,bidhaa haziozi,wala ku expire,hata vikikaa mwaka bila kununuliwa...
2,3,4 ingia moja wapoKabla ya kuingia muhimu kupata ushauri kwa wazoefu
Kwann usiiweke hapa mkuuFanya namba 3 kisha nitafute nikuonyeshe njia yenye pesa.
Akili inanituma kuingia shamba kwa trekta nipeni uzoefu
Mkuu hongera kwanza. Biashara zote hizo pasua kichwa. Nunua mpunga weka s tore. Mfano mpunga wakati wa kiangazi huwa ni kati ya elf 30 hadi 36 kwa ginia hapo ni july uweke store hado october hadi april then uuzekati ya miezi hiyo bei ya gunia la mpunga hupanda hadi elf 90. Nafikiri faida shilingi itazaa shilingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu msemo huwa watanzania wengi tunaupenda. Hata kitu ambacho hakiozi kisipouzika kwa wakati ni hasara. Kama una stock ya milioni 50 ya building hardware usipouza kwa muda wa miezi sita halafu ukaja uza mara moja kwa sh milioni 100 kama expenses kwa muda wote ambao hukuuza hazijawa covered up nayale mauzo na faida kubaki basi unakuwa hujafanya chochote.
Tena ukichaa haswaa, au kukosa plan.Niseme ukweli kiuhalisia kBs na decade hii hyo ni biashara KICHAA!...uweke mpunga kutoka may au june uje uuze sijui dec...umeizika sehem tu hela yako!...km makosa tufanye zaman sio sasa!
Alafu sio kwel..kilikua kipindi cha Jk kuzaa shilingi sio miaka hii mkuu!...
Hizi biashara za namna hii kwakwel tuanze kujitafakari upya..mie naona km hasara zaidi!..yaan uweke 20m uje upate 25m kwa 6mths! Hapana!
Hili ni wazo langu mm!
Bank na wenyewe wamekuwa matapeli tuu,kuna mwl amepata kiinua mgongo chake NMB wakamshauri aweke fixed hela kidogo nyingine ndio atumie,kweli akaweka kama 30ml ambayo kwa mwezi atakuwa anapata riba ya 210000,miezi ya mwanzo mwanzo walikuwa wanamuwekea hela yake lkn siku zinavyozid kwenda wakawa hawaweki tena hela,wakifuatilia wanaambiwa sijui hali imekuwa mbaya raia hawarudishi mikopo wanayokopa bank,hivi kweli Hui so utapeli KBS?!....Hiyo pesa 45m ukiweka benki ya biashara kama fixed deposite kila mwezi unapewa 480,000 riba wakati unasubiria paka pale mazingira ya biashara ikae vizuri nchini, lasivyo uwezekano wa kupoteza mtaji ukiwa unaanza biashara mpya nimkubwa sana kipindi hiki cha JPM, labda kama unaendeleza biashara ulio kua nao....lakini jambo muhimu kipindi hiki sio faida ila ni kulinda mtaji wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sio benki sasa, ukuingia mkataba na benki lazima ikulipe mambo yao ya mikopo ha yakuhusu kabisaBank na wenyewe wamekuwa matapeli tuu,kuna mwl amepata kiinua mgongo chake NMB wakamshauri aweke fixed hela kidogo nyingine ndio atumie,kweli akaweka kama 30ml ambayo kwa mwezi atakuwa anapata riba ya 210000,miezi ya mwanzo mwanzo walikuwa wanamuwekea hela yake lkn siku zinavyozid kwenda wakawa hawaweki tena hela,wakifuatilia wanaambiwa sijui hali imekuwa mbaya raia hawarudishi mikopo wanayokopa bank,hivi kweli Hui so utapeli KBS?!....
Sent using Jamii Forums mobile app
Milion 45 unapata 450,000Hiyo pesa 45m ukiweka benki ya biashara kama fixed deposite kila mwezi unapewa 480,000 riba wakati unasubiria paka pale mazingira ya biashara ikae vizuri nchini, lasivyo uwezekano wa kupoteza mtaji ukiwa unaanza biashara mpya nimkubwa sana kipindi hiki cha JPM, labda kama unaendeleza biashara ulio kua nao....lakini jambo muhimu kipindi hiki sio faida ila ni kulinda mtaji wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Taja bei ikiwa hvyo, bila jembe, na jembe na tela 'options" zote, mwanangu inadi pia sifa zake kwa nini tusifikiri nyingne iwe aina hyo tu.