macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Huu msemo huwa watanzania wengi tunaupenda. Hata kitu ambacho hakiozi kisipouzika kwa wakati ni hasara. Kama una stock ya milioni 50 ya building hardware usipouza kwa muda wa miezi sita halafu ukaja uza mara moja kwa sh milioni 100 kama expenses kwa muda wote ambao hukuuza hazijawa covered up nayale mauzo na faida kubaki basi unakuwa hujafanya chochote.Jaribu Hardware,ila angalia location,bidhaa haziozi,wala ku expire,hata vikikaa mwaka bila kununuliwa...