Nina milioni 45, nifanye biashara ipi kati ya hizi?

Hapa ushauri namba 3 ndio wenye uhakika.
Hizo zingine ni pata potea,ingawa hiyo namba 1 pia ni nzuri ila inawafaa watu wenye sources nyingi za income ili awe na uwezo wa kuvumilia hiyo miaka mingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi mkuu ila inategemea unawaza kwenye level gani.
Kwa mtu mwenye experience kubwa ya biashara na ana cash flow nzuri hatoona umuhimu wa kutumia milioni 50 ili kujenga nyumba ya kupokea 300k kila mwezi.
Lakini kwa mtu asiye na uzoefu wa biashara na anataka kupata uhakika wa pesa ya kujikimu kila mwezi kujenga nyumba ya kupangisha is the best option.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakusapoti kwa asilimia [emoji817].
Kwa kipindi Cha Sasa I don't agree on any other kind of business rather than this real estate.
Nikibadilisha Sana labda ya kuuza duka la vifaa vya ujenzi ndio at least naikubali kwa vile bidhaa zake haziozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True real estates ni kama life backup maana hatuna garantii ya kesho yetu hasa ukwamapo kimaisha uongo familia haifi njaa hata mtu akili utulia wakati ukisaka miundombinu mingine unamwachia wife aangalie familia kupitia houses
Wewe una akili nyingi Sana.
Walio wengi wanarubuniwa na biashara ya kwenye makaratasi na kuaminishana utajiri fake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukute hujawahi kuwa hata na kabustani ka maua ...Kiliko sio easy kama unavyofikiri... Mwaka Juzi nimepata hasara ya maharage huko Morogoro Sina hata hamu .

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi vitu huwezi kugundua mapema Hadi udanganywe uingie mkenge.
Ndio Kama wanavyomdanganya huyu ndugu yetu mtoa mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah ah

duh we mwalimu nini hebu nioneshe hiyo bank yenye riba ya asilimia 120 kwa mwaka nami nikaweke laki yangu.....hiyo asilimia 10 ni kwa mwaka mzee ukiigawa kwa mwezi ni chini ya hapo haizidi hata buku 30 kwa mwezi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu...chukua pesa kidogo ufanye duka la bidhaa za chakula jumla na rejareja...utumie kipindi hicho kufatilia biashara nyingine utakayoweka mtaji mkubwa....45m kwenye baadhi biashara unazoshauriwa hapa bado ni mtaji mdogo sana...ukizingatia hapo hujatoa gharama za frem na pesa ya tahadhali....kumbuka inachukua muda kuona faida halisi ya biashara mpaka miaka miwili au zaidi...pia ushindani ni mkubwa sana...wewe unanunua kariakoo ...mshindani anaagiza nje....kupata mtaji ni kazi ngumu...lakini kuukuza mtaji ndio shughuri pevu zaidi.
 
Vipi hii idea Katika 45 toa 20 nunua site 25 jenga frem 10 zipangishe 7 kisha 3 zifungue business moja ya hardware,pili spea za pikipiki tatu duka la nafaka baada ya miezi 3 kalikopee bank hilo eneo 40m mpe muhindi akupe tata mpya ya mkataba tafuta ruti dume za nje ya mji zinazolaza 250000 kwa siku upate kulipa bank na kwa muhindi yaaani uchukue risk kubwa (unabet maisha) hasara roho potelea mbali.Hapo vipi
 
Una mawazo mazuri sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sound good too

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ukweli huo!! Mimi kuna jamaa yangu nilimpa onyo hilo, hakusikia, akajifanya ni afisa mwandamizi wa TBS!! nilitaka kumuunganisha na mtaalam wa kupekecha mpunga kwa mikono, yeye akiuuona tu anaupekecha, anakwambia huu sawa, na kwelii mule mule!! Akakataa, akajikuta ananunua biliani tupu!! Halafu ujazo mdogo alikula hasara kubwa!! Kule hata ndoo za kupimia ni tofauti, ulishawahi kusikia ndoo tupu ya lita 20,inauzwa laki 2?!!!
 
Hii biashara ya mazao hususani mpunga inahitaji umakini sana kwani unanunua kitu ambacho kiko kwenye maganda!!na bei zake huwa hazitabiriki sana!!bora hata ya mchele
Kununua mpunga kama sio mzoefu acha kabisa narudia tena kama wewe sio mzoefu na hauna MTU mzoefu kwenye hii biashara ya mpunga acha kabisa utakuja kuuziwa pumba badala ya mpunga nimeongea kwa uzoefu wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh,shambani tu wakati wa mavuno sio bei hiyo mkuu!uliza vzr !

BTW,ukinunua huo mwezi wa ,5,6,7....uweke mpk Nov,dec, Jan,Feb,march,April.....ndo bei huwa inakua juu,baada ya hapo inashuka tena mavuno yanakua yameanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…