Nina milioni 45, nifanye biashara ipi kati ya hizi?

Yes too risky

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha ...sisi wa2 ambao tunalima mkonge tunawacheki tu.....sio kila kilimo ni risk mkuu, aingie Tanga huku alime mkonge atanambia...japo mwanzoni inahitaji uvumilivu kidog...bt after 4 to five years akianza kuvuna ni mwaka mmoja tu pesa yake inakuwa imerudi (pay back), na baada ya hapo anakula faida tu......
naongea haya kwa experience mana nyumban tnalima mkonge...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo mkonge mkishavuna masoko yake mnauzia wapi?

Asipoelewa leo ataelewa akifilisika au akiwa hoi kwa dr manyau nyau.
Kuna watu huwa wanachukulia poa story za mshana na member wengine kuhusu utajiri na ulimwengu wa roho.

Ufanyie kazi huu ushauri hutojutia
Mawazo maziri wadau, ushapewa mawazo mengi mazuri ni issue kufanya implementation tu na commitment, yangu hayajaongelewa na mtu na ni juu ya ulinzi wa unachotaka kukifanya ifuatavyo:

Sifaham imani yako ie Muslim, Christian au vinginevyo, najua una imani (Spiritual faith)

Physical world inatawaliwa kwa kias kikubwa na Spiritual world, hapo unachopanga, ulimwengu wa kiroho unaangalia, mwingine unataka ukusaidie (Mungu wa kweli) lkn mwingine unataka ukuangamize (mungu mwingine)

Unaweza kupata mafanikio na ulinzi kupitia aina mbili nilizozitaja hapo juu za mazingira ya kiroho, faham kwamba ktk kila hali yyte ya kiuchumi kuna nguvu ya kiroho nyuma yake inayokusukuma ie kufanikiwa au kufeli kote huletwa na hali ya kiroho.

Usijeanzisha biashara yyte ile popote pale iwapo una uhakika kwamba huna ulinzi wowote spiritually (Iwe ni wa MUNGU wa kweli au wa mungu shetani) na ndo mana unaweza kuniambia ulianzisha biashara ya magar ikafeli, uliingia kweny ushindani, na wengi wana ulinzi wao, kaa ukijua ukiingia bila ulinzi lazima utafeli tu.

Nakusihi kabla hujaanza biashara yyte jiwekee ulinzi kwanza, vinginevyo unaweza kufa kabisa watu wakakuondoa dunian ili tu usiwe mshindani wao.

Usipojiwekea ulinzi utakufa na pressure tu, Mungu wa kweli na akusaidie kuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo mkonge mkishavuna masoko yake mnauzia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu tumeingia ubia na mchina huwa inapelekwa china....uzuri wa hii kitu tabu ni mwanzoni kuupanda, ila ukishapanda sio kama miti kuwa kuna uangalizi mkubwa hapana, mana ni zao ambalo linastahamili ukame, baada ya miaka minne unavuna....uzuri wa hii huvuni ww.hupeleki kuproduce ww kila ktu unafanyiwa hata uwe unaishi wapi. wakat wa kvuna ukifika wapo wakataji watkuja kkvunia, hupeleki sokoni ww mana serikali ishatutaftia mchina ambaye ameshinda tender ya kuchkuwa mkonge tz nzima alaf mwisho wa sku oparation cost zote znakatwa...huwa tunalima kwa hekta na hekta 1 unauwez wa kutoa tani 3, na tani 1 ni mill 3. na hayo ni mahesab ya chini kabisaAaa....ndugu yng mmoja mwaka jana kavuna hekta 12 tu kapata mill 47...na uvunaji wake ni kila baada ya miezi 6, sema kwa sasa naona kama miez imeongezwa hiv ni around 9 months....ww hutokuwa na kaz yyte ni kuingiziwa pesa tu...njoo tanga huku upige pesa, kuna usemi unasema wazee wa tanga kutwa kwenye kahawa na bao,[emoji23]si uongo[emoji16] lakini siri yao kubwa ni hii...sema wanatmia sana pesa pasipo na malengo, nikiri kabisa kwa hili wangekuwa mbali sana kiuchumi..
hili zao ni tfaut na mazao mengne mana kilimo ni lazma ujitoe na utenge mda mwing kusmamia lasivyo unalia, ila kwa zao hili unaweza ukaenda shamban kwako mara 1 kwa miaka mitano[emoji23] kutembea tu...mpunga unaingia....

nipo shamba kwa sasa..[emoji23][emoji23]
20200413_125102.jpg
20200413_125045.jpg

nipo shamba kwa sasa..[emoji23][emoji23]View attachment 1453310View attachment 1453311

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo fani zangu hizo
 
Nilikuwa nayo dereva akaenda kuipiga chini kisarawe nikauza bei ya screpa sijawahi kula hata kumi yake zaidi ya kuugulia maumivu heri ningejenga nyumba nikaiona
Hukukata Comprehensive insurance?

hapo ndipo ulipokosea.
 
Bank ipi iko vizuri,niliyokuwa nayo ni nzuri kosa nililofanya ni kununua daladala za kufufua sababu pesa ilikuwepo nimejikuta imeishia garage japo zimesimama lkn pasua kichwa zinakula Pesa kama jini mfilisi unarekebisha hiki kinaibuka hiki naona tafilisika japo wazoefu wanakwambia ndio gari zilivo vumilia zitatulia zikishajivubua magonjwa yote hata sisi tulianza hivo hivo.

Unagusa services ya pump ukicheki imeliwa laki nani hapo nikipiga sawa na mifuko ya cement kadhaa,Mara gari imekamatwa,najikuta natoa tu
POle, hiyo mimi ni shuhuda mkuu.
kati ya 2004 na 2011 nilifanya hiyo biashara, niliishia kupata jina Ukurugenzi tu kutoka kwa madereva, mafundi na mautingo.
Nilishtuka wakati kumekucha, nikauza yoooote, nikabakia na ajira yangu tu.
wef 2012 nikaweza kujenga na kuanza michakato ya maisha upya.

Napenda sana biasharaya mari, ila ni pasua kichwa.

Kama una moyo mdogo, usithubutu.
 
Hii biness ni jini mufilisi pasua kichwa,utanunua bei juu ukitaka kuuza haiuziki na hata ukiuza ni bei ya hasara.
 
Pi

Pia parachichi inalipa Sana China kuna soko kubwa Sana hata tulime wote nchu nzima hatuwezi lijaza, wakenya wamechangamkia fursa
duuuh[emoji39] kuumbe...na hii inakuwaje mkuu, katika maswala mazima ya usimamiz?
mana najua katani unaijua vyema kuhus usimamiz wke haiumiz kichwa kliko kilim chchte....vipi kwa hii mkuu...tupe madini kidogo huenda na mm nkaingia huko...nkawa na mkonge na parachichi pia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu tumeingia ubia na mchina huwa inapelekwa china....uzuri wa hii kitu tabu ni mwanzoni kuupanda, ila ukishapanda sio kama miti kuwa kuna uangalizi mkubwa hapana, mana ni zao ambalo linastahamili ukame, baada ya miaka minne unavuna....uzuri wa hii huvuni ww.hupeleki kuproduce ww kila ktu unafanyiwa hata uwe unaishi wapi. wakat wa kvuna ukifika wapo wakataji watkuja kkvunia, hupeleki sokoni ww mana serikali ishatutaftia mchina ambaye ameshinda tender ya kuchkuwa mkonge tz nzima alaf mwisho wa sku oparation cost zote znakatwa...huwa tunalima kwa hekta na hekta 1 unauwez wa kutoa tani 3, na tani 1 ni mill 3. na hayo ni mahesab ya chini kabisaAaa....ndugu yng mmoja mwaka jana kavuna hekta 12 tu kapata mill 47...na uvunaji wake ni kila baada ya miezi 6, sema kwa sasa naona kama miez imeongezwa hiv ni around 9 months....ww hutokuwa na kaz yyte ni kuingiziwa pesa tu...njoo tanga huku upige pesa, kuna usemi unasema wazee wa tanga kutwa kwenye kahawa na bao,[emoji23]si uongo[emoji16] lakini siri yao kubwa ni hii...sema wanatmia sana pesa pasipo na malengo, nikiri kabisa kwa hili wangekuwa mbali sana kiuchumi..
hili zao ni tfaut na mazao mengne mana kilimo ni lazma ujitoe na utenge mda mwing kusmamia lasivyo unalia, ila kwa zao hili unaweza ukaenda shamban kwako mara 1 kwa miaka mitano[emoji23] kutembea tu...mpunga unaingia....

nipo shamba kwa sasa..[emoji23][emoji23]View attachment 1453310View attachment 1453311

Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuri.

Hekta 20 unahitaji Mtaji wa kihasi gani mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duuuh[emoji39] kuumbe...na hii inakuwaje mkuu, katika maswala mazima ya usimamiz?
mana najua katani unaijua vyema kuhus usimamiz wke haiumiz kichwa kliko kilim chchte....vipi kwa hii mkuu...tupe madini kidogo huenda na mm nkaingia huko...nkawa na mkonge na parachichi pia..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Ina changamoto kidogo, kujifunza zaidi na kuyajua yote type kilimo cha parachichi gooogle utapata elimu ya maslai yote kuanzia jf,fb,na blog zote za hapa Tz
 
duuuh[emoji39] kuumbe...na hii inakuwaje mkuu, katika maswala mazima ya usimamiz?
mana najua katani unaijua vyema kuhus usimamiz wke haiumiz kichwa kliko kilim chchte....vipi kwa hii mkuu...tupe madini kidogo huenda na mm nkaingia huko...nkawa na mkonge na parachichi pia..

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mkonge maeneo ya mkuranga waweza stawi
 
Nzuri.

Hekta 20 unahitaji Mtaji wa kihasi gani mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu apa inatgmea na eneo...na nguv zko...kma ni safi au ni la kuvunja mapori...ila kwa haraka haraka kama ziko pamoja hizo hekta ni around mill 19 hiv inawez kuzid au kpngua itatgmea na msimamiz wko au ww kma utkuw muangliz sawa, ina nashaur hapa pawe na msmamiz ambae ameshawah lima mkonge ndo atkfnyia evaluation ya watu wa kupanda kupiga mashimo na kupima na ujanja wote anaujua kuliko ww mgeni...kipima si gharama sana mana ni watu wawil tu, kwenye kazi ni kupanda na kuchimba mbegu na mashimo pia...ukipat mtu mzur au ww kma uko vzur gharama azwez fkia huko... ukshapanda sasa unasbir mavuno huku palizi kwa mwaka lkiwa ni mara 2 tu...kwa miaka minne unaanza vuna.hapo mambo yankuwa sawia kabisa.....mtaji hapo unarud na faida juu.tna kwa hekta 20 mkato mmoja take home ni around 70 mill.....

hata iwe gharama ikachkuwa 40 mill huna hasara mkuu, mana ni guarantee lazma pesa yko yote irudi kwa mkato mmoja tu...
kiukwel cjawah ona biashar kma hii, mo mwenyew na mzee mbowe wana mkonge[emoji16] wale jamaa wajanja sana...mwaka jana tlkuwa na alokuwa waziri wa mazingira January makamba kaja kuanglia mali ya mkonge wao mana babaake mzee makamba ndo alipanda...naona tng upande bei hawakauki huku korogwe mana zaman ilkuw tuna dhulumiwa sana pesa zetu....hivi nnavyoongea mkurgnz wa katan ltd juma shamte yupo ndan kawekwa kuzuizini kwa kesi ya uhujumu uchumi, walikuwa na baba yake mzaz wote wamewekwa ndani, sema mwez ulopita tulienda mzika baba yke ambae ndo alkuw mkurgenz zaman, hawa jamaa walkuw wakiiba pesa za wakulima sana mpaka wazir wa kilimo na majaliwa wakaweka sawa....sasahiv wakulima wa mkonge ni full jeuri yaan....
karibu mkuu...
nimejarb kchangany mada ndan ili watu angalau wajue mbil tatu za mkonge......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom