Nina milioni 45, nifanye biashara ipi kati ya hizi?

Huu msemo huwa watanzania wengi tunaupenda. Hata kitu ambacho hakiozi kisipouzika kwa wakati ni hasara. Kama una stock ya milioni 50 ya building hardware usipouza kwa muda wa miezi sita halafu ukaja uza mara moja kwa sh milioni 100 kama expenses kwa muda wote ambao hukuuza hazijawa covered up nayale mauzo na faida kubaki basi unakuwa hujafanya chochote.
Mkuu kwa mfano ni aina ipi ya hardware ambayo ikikaa kwa hiyo miezi sita bei yake ya kuuzia inaweza kuwa mara mbili ya bei yake ya kununulia? ?
 
Namba 4 hapo m 20 nunua canter ndogo zile za tone 3 za mchanga sterring kamatia mwwnyewe,m 10 fungua kihardware cha kimtindo karibu na maeneo utakayokua unapark canter cha kuanzia kuisoma biashara,m 10 ipige fixing account,m 5 iweke kama akiba kwa adjust yoyote
Wasalamu,kwa kuuza daladala zangu mbili sababu ya usumbufu wa kissing garage,plus mkopo nawezapata kama m45 nipo na mawazo kama matano hivi,ushauri muhimu ili nisiangamie maana pesa ikishapotea hairudi unabaki na majuto na maradhi ya moyo tu.

1.Nitafute eneo nijenge frem za kupangisha hapa takula hadi uzeeni shida utapata kodi itakayokusaidia kula na sio kukua haraka kibiashara lkn ni ya uhakika yaani ufi njaa.Mungu akijalia wawezazifungulia biashara zako kadri utakavyo na maisha yakaenda.

2.Ninunue trekta mpya zero kilometer katu sitonunua chombo cha moto used nchini tena kwa hasara nilizopata za kushinda garage kuliko kushinda barabarani.Trekta ni tegemeo ni johndeer,Massey,case,deutz ukitanguliza 45 anakupa inayobaki na riba ndani ya mwaka kwa mnyama deer miaka miwili yaani,zinauzwa kati ya 55m hadi 65m plus jembe.Niingie pori nikachane mbuga nalimia watu nami nalima yangu mazao tegemeo ni karanga,alizeti,mtama,mhogo,viazi,mahindi,mpunga nategemea kulima ekari 500 kwenda juu mashine Yangu nguvu yangu nasimamia mwenyewe iwe jua au mvua ni kula mbuga tu.

3.Nimpe muhindi 45m anipe tata marcopolo ya mkopo zero kilometa nikae mlangoni nipige ndefu sio daladala yaani ruti za nje ya mji nauli isiyo chini ya elf 15 yaani kupakia kwa foleni mfano moro ifakara,mbagala kusini,kambi popote.

4.Niagize fuso mnyama au scania kipisi nikae mwenyewe naenda shamba kununua mizigo mixer mfano viazi chips,ndizi,miwa,nyanya,vitunguu,ngombe,mbuzi,nk chochote kiuzwacho sokoni nakujauza bei ya jumla narudi shamba tena kwa kusomba mizigo ya duka kurudi shamba.

5.Nifungue kiwanda cha kusaga chupa na mifuko ya plastic kisha nauza viwandani.

6.Ninunue shamba nipande miti niendelee na umasikini wangu nisubirie miaka 10 hadi 15 niwe milionea baada ya kuvuna miti.

Naombeni idea kwa kuangalia risk,faida,mda,usalama wa fedha,uhakika wa kuishi, stress,nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kuanzisha bishara ya chakula cha mifugo mtaji minimum ni kiasi gani?
 
Mkuu tubet hapo tutafute tu team moja yenye odds walau 2. Kama leo Sheffield United anacheza na Westham United pale Bramall Lane lazima Sheffield washinde.

Kesho asubuhi unaamka na 90million, no stress.
Na Mimi nilitaka kusema hivyo hivyo, tafuta odds 3 tupia 5m ngoma inasoma 15m kesho tena hivyo hivyo baada ya mwezi una milioni 100+
 
Mkuu tubet hapo tutafute tu team moja yenye odds walau 2. Kama leo Sheffield United anacheza na Westham United pale Bramall Lane lazima Sheffield washinde.

Kesho asubuhi unaamka na 90million, no stress.
Wazee wa kubet mnatoa fursa. CCM ya akina POLEPOLE imeharibu nchi yetu kabisa, nguvu kazi inazidi kupotea. Vijana wanakua na akili kama za LE MUTUZ, hali ni mbaya sana.
 
Namba 4 hapo m 20 nunua canter ndogo zile za tone 3 za mchanga sterring kamatia mwwnyewe,m 10 fungua kihardware cha kimtindo karibu na maeneo utakayokua unapark canter cha kuanzia kuisoma biashara,m 10 ipige fixing account,m 5 iweke kama akiba kwa adjust yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nitafute makazi mapya yanayojengeka yaani nje ya mji nitafute eneo kisha nijenge hardware nikambidhi wife aisimamie mie kazi za kukaa siwezi nishazoea purukushani za kusafiri safiri
 
Bank na wenyewe wamekuwa matapeli tuu,kuna mwl amepata kiinua mgongo chake NMB wakamshauri aweke fixed hela kidogo nyingine ndio atumie,kweli akaweka kama 30ml ambayo kwa mwezi atakuwa anapata riba ya 210000,miezi ya mwanzo mwanzo walikuwa wanamuwekea hela yake lkn siku zinavyozid kwenda wakawa hawaweki tena hela,wakifuatilia wanaambiwa sijui hali imekuwa mbaya raia hawarudishi mikopo wanayokopa bank,hivi kweli Hui so utapeli KBS?!....

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee..nimeanza connect dots...dingi analalamila nw kuwa alikua anapewa hela nov..lakini had jan hii hawajamwekea faida yake🤔! Wamemhadaa eti wamebadilisha muda wataweka jan mwishon! Duh bas hali sio hal..kumbe had mabenk yanakosa hela?😇😇😇😇
 
Wasalamu,kwa kuuza daladala zangu mbili sababu ya usumbufu wa kissing garage,plus mkopo nawezapata kama m45 nipo na mawazo kama matano hivi,ushauri muhimu ili nisiangamie maana pesa ikishapotea hairudi unabaki na majuto na maradhi ya moyo tu.

1.Nitafute eneo nijenge frem za kupangisha hapa takula hadi uzeeni shida utapata kodi itakayokusaidia kula na sio kukua haraka kibiashara lkn ni ya uhakika yaani ufi njaa.Mungu akijalia wawezazifungulia biashara zako kadri utakavyo na maisha yakaenda.

2.Ninunue trekta mpya zero kilometer katu sitonunua chombo cha moto used nchini tena kwa hasara nilizopata za kushinda garage kuliko kushinda barabarani.Trekta ni tegemeo ni johndeer,Massey,case,deutz ukitanguliza 45 anakupa inayobaki na riba ndani ya mwaka kwa mnyama deer miaka miwili yaani,zinauzwa kati ya 55m hadi 65m plus jembe.Niingie pori nikachane mbuga nalimia watu nami nalima yangu mazao tegemeo ni karanga,alizeti,mtama,mhogo,viazi,mahindi,mpunga nategemea kulima ekari 500 kwenda juu mashine Yangu nguvu yangu nasimamia mwenyewe iwe jua au mvua ni kula mbuga tu.

3.Nimpe muhindi 45m anipe tata marcopolo ya mkopo zero kilometa nikae mlangoni nipige ndefu sio daladala yaani ruti za nje ya mji nauli isiyo chini ya elf 15 yaani kupakia kwa foleni mfano moro ifakara,mbagala kusini,kambi popote.

4.Niagize fuso mnyama au scania kipisi nikae mwenyewe naenda shamba kununua mizigo mixer mfano viazi chips,ndizi,miwa,nyanya,vitunguu,ngombe,mbuzi,nk chochote kiuzwacho sokoni nakujauza bei ya jumla narudi shamba tena kwa kusomba mizigo ya duka kurudi shamba.

5.Nifungue kiwanda cha kusaga chupa na mifuko ya plastic kisha nauza viwandani.

6.Ninunue shamba nipande miti niendelee na umasikini wangu nisubirie miaka 10 hadi 15 niwe milionea baada ya kuvuna miti.

Naombeni idea kwa kuangalia risk,faida,mda,usalama wa fedha,uhakika wa kuishi, stress,nk
Mkuu umetoa hoja nzuri mimi nakushauri kwa alternative zifuatazo za uwekezaji tumia moja au zaidi ya moja

1. Unaweza tenga million kumi kwa ajili ya biashara lakini milioni thelasini na tano kaweke kwenye treasury bond yaani dhamana za serikari, fuatilia rate BOT utaamua uweke za muda gani miaka mitano,au kumi,au kumi na tano au ishirini, ingawa mimi napendekeza za miaka ishirini. Itakufanya uwe na kipato cha uhakika wakati unatumia milioni kumi kufanya biashara nyingine ambayo ni scalable.

2.Tafuta mfanyabiashara anayenua au kuprocess mazao ya biashara, muombe awe menthor wako au mshirikiane, hapa usihofu wapo wengi Songea au Ifakakara wana mashine na godown , tumia millioni 30 nunua mazoa mwezi wa saba au wa nane hifadhi kwenye magodown yao kwa kawaida atakayenunua atasaga au kukoboa kwao uza kuanzia November.

Usitumie 15 M iloyobaki, mwakani (2021) baada ya kujifunza tafuta washirika wawili ata mimi naweza kukutafutia wachangie kiasi kama hicho unaweza nunua na kuistall mashine za kukoboa mpunga Ifakara au kusaga unga Songea inategemea utakapopenda ku specializa, I prefer Songea. Then utakuwa unaprocess na kusafirisha kwenye masoko. Pia ukivutiwa na wazo hili awali unaweza kuamua kutembelea maeneo yenye bishara za vyakula kama Moro,Ifakara,Songea na baadhi ya wilaya za Mbeya ukaone watu wanavyofanya wakati sisi tunashinda jamiiforums. Usione tabu kutumia pesa kwa kusafiri ili upate business information na kupata technical know

3. Fanya survey ya mikoa na maeneo ambayo eneo la kiwanja cha millioni kumi au kumi na mbili unaweza jenga apartment ya vyumba viwili na sitting na choo na jiko unaweza pangisha kwa laki mbili au zaidi.

Ukipata eneo jenga apartment tatu au mbili with site plan inayoruhusu expansion kwenye kiwanja kimoja. Hapa for cost efficient apartment mbili itokane na design ya nyumba moja yaani huyu mbele mwengine nyuma, zinashare baadhi ya vitu kama ukuta ma mabomba ya majo.

Idea hii ni ngumu kwa dar kwa kuwa viwanja vya million kumi ni pembeni saana ila miki kama Moshi, Tanga,Mtwara,Lindi,Mbeya,Shinyanga,Tabora,n.k unaweza fanikiwa.

All the best

Hongera kwa mawazo mazuri...lakini kwa maisha ya sasa kuna biashara itakubidi uzizike!...things changed alot!..hizi mishe za real estate sidhan kama kwa hapa kwetu zinalipa tena! Au mie sielewi!
Kwwmba ajenge nyumba kwa mfano atumie 50m..then apangishe kila mwezk kwa 300k!...wakati kuna biashara nyingine zinazolipa zaidi!!... Au mie nafikiri kinyume nyume!...
 
True m50 kusubiria faida ya laki 3 per month plus changamoto za wapangaji kulipa ni bora nijenge frem kumi angalau.Ila real estate ni biashara nzuri kwa kustaafia,na sio mwenye speed ya usakaji
 
Fikiria na hili. Zipo biashara zinazohitaji uwepo wako na zipo ambazo wewe unaweka pesa harafu unatafuta kijana anakufanyia kazi.
Kwa hiyo pesa unaweza fanya biashara ya kuuza spea za pikipiki. Tafuta mji mdogo uliyochangamka kodisha fremu weka mzigo. Nje tafuta kijana fundi pikipiki kila siku anayofanya kazi atakua anakupa tshs 3000.

Pia unaweza fanya biashara ya uwakala kwa miamala ya pesa. Tigo pesa, mpesa, Luku, nmb, crdb ni.

Ukipata sehemu nzuri unaweza fungua biashara zote mbili sehemu moja.
 
Mkuu umetoa hoja nzuri mimi nakushauri kwa alternative zifuatazo za uwekezaji tumia moja au zaidi ya moja

1. Unaweza tenga million kumi kwa ajili ya biashara lakini milioni thelasini na tano kaweke kwenye treasury bond yaani dhamana za serikari, fuatilia rate BOT utaamua uweke za muda gani miaka mitano,au kumi,au kumi na tano au ishirini, ingawa mimi napendekeza za miaka ishirini. Itakufanya uwe na kipato cha uhakika wakati unatumia milioni kumi kufanya biashara nyingine ambayo ni scalable.

2.Tafuta mfanyabiashara anayenua au kuprocess mazao ya biashara, muombe awe menthor wako au mshirikiane, hapa usihofu wapo wengi Songea au Ifakakara wana mashine na godown , tumia millioni 30 nunua mazoa mwezi wa saba au wa nane hifadhi kwenye magodown yao kwa kawaida atakayenunua atasaga au kukoboa kwao uza kuanzia November.

Usitumie 15 M iloyobaki, mwakani (2021) baada ya kujifunza tafuta washirika wawili ata mimi naweza kukutafutia wachangie kiasi kama hicho unaweza nunua na kuistall mashine za kukoboa mpunga Ifakara au kusaga unga Songea inategemea utakapopenda ku specializa, I prefer Songea. Then utakuwa unaprocess na kusafirisha kwenye masoko. Pia ukivutiwa na wazo hili awali unaweza kuamua kutembelea maeneo yenye bishara za vyakula kama Moro,Ifakara,Songea na baadhi ya wilaya za Mbeya ukaone watu wanavyofanya wakati sisi tunashinda jamiiforums. Usione tabu kutumia pesa kwa kusafiri ili upate business information na kupata technical know

3. Fanya survey ya mikoa na maeneo ambayo eneo la kiwanja cha millioni kumi au kumi na mbili unaweza jenga apartment ya vyumba viwili na sitting na choo na jiko unaweza pangisha kwa laki mbili au zaidi.

Ukipata eneo jenga apartment tatu au mbili with site plan inayoruhusu expansion kwenye kiwanja kimoja. Hapa for cost efficient apartment mbili itokane na design ya nyumba moja yaani huyu mbele mwengine nyuma, zinashare baadhi ya vitu kama ukuta ma mabomba ya majo.

Idea hii ni ngumu kwa dar kwa kuwa viwanja vya million kumi ni pembeni saana ila miki kama Moshi, Tanga,Mtwara,Lindi,Mbeya,Shinyanga,Tabora,n.k unaweza fanikiwa.

All the best

Sent using Jamii Forums mobile app
I prefer ifakara kwa maana ya kujenga godown ya kuhifadhi mazao na kufungua plant ya kusaga na kukoboa,pia kuingia hata field kulima na kulimishia kwa trekta.apartment ni nzuri Ina low risk lkn return yake ni ndogo ila ni ya uhakika.
 
Back
Top Bottom