MTAU JR
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 216
- 305
Habari za mda huu wana JF nimejichanga hatimaye nimefanikiwa kufikisha 8m cash binafsi nimewaza vitu viwili kichwani chakwanza nifungue duka la spea za magari au pikipiki na akili nyingine inaniambia ni nunue gari kwajili ya Uber na Bolt.
Nipo hapa nduguzangu kupokea maoni tofauti naamini hapa kuna wajuzi wenge uelewa mpana na wazoefu je? Nifanye lipi kati ya hizo hapo juu. Napokea mawazo ya kila member kwa mikono miwili nipo Dar es Salaam, natanguliza shukrani zangu nawasilisha [emoji120][emoji120]