Nina milioni 8 nifanye kipi kati ya kununua bajaji au kununua gari kwa ajili ya Uber na Bolt?

Maajabu ya biashara haya kiongozi
Ila pia inategemea na muhusika anapenda nn cha kufanya
Mtu ananunua mini bus 10ml+ akisubir hesab ya 30k kwa siku [emoji15][emoji15][emoji15] wakat muuza chps kwa mtaj wa 500k anaingiza kwa siku [emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna muuni pale sinza Mori anauza chipsi mishikaki. Ana nyomi la watu. Biashara ya chips nzuri Sana kama ukiotea sehemu nzuri iliyochangamka hapa town na pia ukapata mtaalam mzuri wa kuzipika na kuandaa mishikaki vizuri.
 
Habari za mda huu wana JF nimejichanga hatimaye nimefanikiwa kufikisha 8m cash binafsi nimewaza vitu viwili kichwani chakwanza nifungue duka la spea za magari au pikipiki na akili nyingine inaniambia ni nunue gari kwajili ya uber na bolt

Nipo hapa nduguzangu kupokea maoni tofauti naamini hapa kuna wajuzi wenge uelewa mpana na wazoefu je? Nifanye lipi kati ya hizo hapo juu. Napokea mawazo ya kila member kwa mikono miwili .. nipo Dar es salaam... natanguliza shukrani zangu ...nawasilisha [emoji120][emoji120]
Mkuu endelea na hiyo shughuli yako iliyokufanya upate hiyo pesa mkuu
 
Broh hela zitapotea kiutani utani, tafuta taarifa za kutosha kuhusu kitu unachotaka kufanya. Pia usiwe na au kichwani. Chagua kitu kimoja na uwe na sabab za kufanya hicho kitu.
 
Habari za mda huu wana JF nimejichanga hatimaye nimefanikiwa kufikisha 8m cash binafsi nimewaza vitu viwili kichwani chakwanza nifungue duka la spea za magari au pikipiki na akili nyingine inaniambia ni nunue gari kwajili ya uber na bolt

Nipo hapa nduguzangu kupokea maoni tofauti naamini hapa kuna wajuzi wenge uelewa mpana na wazoefu je? Nifanye lipi kati ya hizo hapo juu. Napokea mawazo ya kila member kwa mikono miwili .. nipo Dar es salaam... natanguliza shukrani zangu ...nawasilisha [emoji120][emoji120]
Mkuu ungesema uko mkoa gani me nifundi wa simu na nishawahi kumiliki kiduka cha spare nikajakuibiwa,
 
Una experience na mojawapo wa vitu ulivyotaja? Kama ndio basi fanya hicho ambacho una experience nacho. Kama ulishawahi kuwa fundi wa pikipiki basi endelea na hilo la spea. Kama ni dereva wa bajaji au gari basi endelea na hicho. Mil 8 si kiwango kikubwa sana hivyo inabidi uendelee kukuza mtaji zaidi.

Pia kama unafanya biashara nyingine ambayo ndio imekuingizia hiyo mil 8 basi unaweza pia kuikuza biashara hiyo zaidi ili uongeze pesa yako.
 
Cjawahi kuwa fundi pia cjawahi kuwa dereva bajaji nliwahi fanya biashara ya electronic kutokana nabusimamizi mbya nikaifunga
 
Back
Top Bottom