Wewe binafsi kitu gani unaona hapo unaweza ...Asante kwa ushauri .. lakini kila nikijaribu kupima mizani haikai mkuu ...
Kuna wakati nawaza kuanza biashara mpya niweke frem vsri nilipie kodi naona kama haitonilipa ... pia kuna muda nawaza kununua gari kufanya uber kipato kile kitakuwa kidogo ukizingatia nina familia.. yaani dahWewe binafsi kitu gani unaona hapo unaweza ...
Fuata Moyo wako mkuu ...
CHILL HALAFU TAFAKARI UPYAAsante kwa ushauri .. lakini kila nikijaribu kupima mizani haikai mkuu ...
Asante mkuu kwa ushauri mzuri ubarikiwe sana .... vipi kuhusu biashara ya spea za magari madogo au spea kwa ujumla.. nipe mawazoUber na bolt kwa upande wangu sikushauri hyo nj biashara kichaa unafaidisha kampuni na sio wewe, makato makubwa yaan 25 ya kila pesa unayopata kwenye 10k yao uber ni 2500 means unabakiwa na 7500 ambayo hio ijumuishe mafuta ,maintenance na posho yako na bado hapo haujaenda sehem ambayo huwezi kupata request hadi uchome uende sehem zilichongamka,
Kwangu Mimi walau Go for bajaj unapigia pia uber coz haina maintenance kubwa au waza kwa upana zaidi jambo jingine. Na kwa hyo bajet yako utapata mpya ambayo haitokusumbua ndani ya mwaka mzima not gari hii bajet utapata used au kama ni second hand showroom kuagiza lbda passo au vitz nadhan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri pia inaonekana una madini ... eb kama hutojali mwaga kidogo hapa ndugu naweza ambulia chchte ... natanguliza shukuraniKweli hadi sasa kuna watu wanawaza kununua bajaji ??? Unaweka milion 8 then unasubiria 20.000 au 15.000 kwa siku.??
Wakati hiyo elfu 20 hadi muuza chipsi mtaji wa laki 6 anapata.
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Kila mtu angeuza chipsi kama hesabu 20,000 kwa siku kirahisi rahisi hivyo.Kweli hadi sasa kuna watu wanawaza kununua bajaji ??? Unaweka milion 8 then unasubiria 20.000 au 15.000 kwa siku.??
Wakati hiyo elfu 20 hadi muuza chipsi mtaji wa laki 6 anapata.
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Maajabu ya biashara haya kiongoziKweli hadi sasa kuna watu wanawaza kununua bajaji ??? Unaweka milion 8 then unasubiria 20.000 au 15.000 kwa siku.??
Wakati hiyo elfu 20 hadi muuza chipsi mtaji wa laki 6 anapata.
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Chai ile mkuuMaajabu ya biashara haya kiongozi
Ila pia inategemea na muhusika anapenda nn cha kufanya
Mtu ananunua mini bus 10ml+ akisubir hesab ya 30k kwa siku π³π³π³ wakat muuza chps kwa mtaj wa 500k anaingiza kwa siku πππ