Nina milioni kumi keshi, Nataka kuanzisha biashara

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,975
Wadau mawazo yenu tafadhali nimepewa mil kumi na ndugu yangu aliyepo nje ya nchi baada ya kumsumbua kila siku kuhusu maisha na namna ya kutunza familia aliyoiacha huku amejitahidi amenitumia milioni kumi hivi naleta hii post hapa tayari hii hela iko benki.

Naombeni ushauri nifanye biashara gani ambayo itaniondoa kuwa tegemezi wa mwisho wa mwezi? Napatikana Kigoma mjini.
 
Kigoma mjini kubwa,unaishi maeneo gani ya mji huo.
Mwanga,Kilimahewa,Katubuka,Ujiji,Mlole,Kasingirima,Rubuga,Ndahiriwe,Kagera,Bangwe,Kantonga,Kibirizi,Mji mwema,Buzebazeba,Mlole,Katwesunzu,Buhanda Businde,Kitongoni,Livingstone nk
Kila sehem ina nafasi na fursa yake.
Kote huko nimevuruga.

Licha ya kwamba vijana wengi wa pale wanatumia Fursa ya kwenda kuchukua mzigo Zambia na kuuza Hapo mjini na wengine kupeleka vijijini au Mikoa ya Jirani kama Mwanza,Shinyanga na Tabora.
Yaani unakuta mtu unaenda Zambia mfano msimu wa Mananasi hapo mkoani ambapo ni mengi sana kutoka Kijiji cha Bitale na vinginevyo,basi unaenda kule na Mananasi unarudi na Ma Apple,Maziwa ya Kopo,nk.
Au unaenda Kongo kuchukua Vitenge Original kama vile Wax,Soso,Dubai na aina nyingine kulingana na soko na kuviuza kwa bei ya Jumla hapo hapo Kigoma,na kama unaweza unavuka navyo hadi Dar na kuuza kwa jumla wala hukai na mzigo.

Pia unaweza kuja Dar ua Zanzibar kununua vitambaa na kwenda kuviuza Kigoma,hasa Kigoma vijijini inalipa sana.

Jingine nionavyomie,biashara ya Tangawizi kama uki study soko inalipa sana pia,maana Kigoma Vijijini ni miongoni mwa eneo hapa Nchini inayoongoza kwa Ulimaji wa Zao hilo,sasa hii ni fursa pia,ila inahitaji study kidogo.

Ushauri wangu ni kwamba,hakuna maisha ya mkato,ni lazima uingie msituni ujitume sana.Milioni 10 sio pesa ya kujifanya na wewe uitwe Bosi.
Maana mie najua vijana wa mkoa huo kwa masifa ndio wenyewe.
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako na kuonyesha unaifahamu kigoma vizuri binafsi napatikana eneo moja linaitwa Gungu/stendi mpya niyafanyia kazi ushauri wako lkn hapo mwisho umemaliza vibaya sijui waha wakiona watakufiraje na sio kila anayeishi Kigoma ni mha.Asante sana
 
Gungu karibu na Kahabwa,pia mitaa yangu mkuu.
Kulikuwa na mwanafunzi mwenzangu anaitwa Miraji na Mohammed Mpepe nilimalizanao Kigoma Seco high School.

Fuatilia vizuri sana kwamba sijasema Muha,kwenye uzi wangu,ila nimesema kwamba vijana wengi wa mkoa huo wakipata vipesa,sifa mbele kuliko kuingiza.Kwanza waha ni watu wenye nidham sana ya pesa.
Hata wakikasirika,mie ni Mmanyema pure tunajijua tabia zetu.
Kidogo siku hizi ndio wanaanza kubadilika.

Chukua Falsafa ya Nyerere kwamba kwenye Mazuri chukua mazuri yangu na kwenye mabaya niachie mwenyewe.
 
dogo taratibu hapo kwenye red
 
Asante sana bro. Nitakupm
 
Wadau mawazo yenu tafadhali nimepewa mil kumi na ndugu yangu aliyepo nje ya nchi baada ya kumsumbua kila siku kuhusu maisha na namna ya kutunza familia aliyoiacha huku amejitahidi amenitumia milioni kumi hivi naleta hii post hapa tayari hii hela iko benki.

Naombeni ushauri nifanye biashara gani ambayo itaniondoa kuwa tegemezi wa mwisho wa mwezi? Napatikana Kigoma mjini.
Milioni kumi inatosha kabisa kuanzisha mradi wa kuuza mbao return yake ni kubwa sana,waone wazoefu wa hiyo biashara watakupa a-z,believe me kwenye mbao ndani ya miezi 6 tu uko mbali sana.
 
Mh! Kaka mbao hawa tra na afsa misitu nitawapona
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako na kuonyesha unaifahamu kigoma vizuri binafsi napatikana eneo moja linaitwa Gungu/stendi mpya niyafanyia kazi ushauri wako lkn hapo mwisho umemaliza vibaya sijui waha wakiona watakufiraje na sio kila anayeishi Kigoma ni mha.Asante sana
Ni wapi kaandika kwamba watu wote wa Kigoma ni waha!
 
Milioni kumi inatosha kabisa kuanzisha mradi wa kuuza mbao return yake ni kubwa sana,waone wazoefu wa hiyo biashara watakupa a-z,believe me kwenye mbao ndani ya miezi 6 tu uko mbali sana.
Mkuu ni mbao aina gani zinazolipa na kwenda haraka zaidi sokoni? Napenda kuanzisha biashara hiyo.
 
Nafraiaga tu ushauri wa hapa j.f
Watu wanazan biashara ni mtaji yan pesa tu.

Mimi kwangu Biashara ni Uzoefu, Muda na kujituma huu ndio uzoefu nilionao, suala la biashara gani si shiDa kabisa.

Ila nikukumbushe wewe mwenye mil 10 bila shaka huna uzoefu na biashaRa
Basi kumbuka

Usipime kina cha maji kwa miguu Yote

Mbili, Usiatamishe kuku wawili ktk kapu moja.

Jipange, usiwe na pupa
 
Mkuu hii ni extramile,nafikiri imeeleweka safi
 
Nafraiaga tu ushauri wa hapa j.f
Watu wanazan biashara ni mtaji yan pesa tu.

Mimi kwangu Biashara ni Uzoefu, Muda na kujituma huu ndio uzoefu nilionao, suala la biashara gani si shiDa kabisa.

Ila nikukumbushe wewe mwenye mil 10 bila shaka huna uzoefu na biashaRa
Basi kumbuka

Usipime kina cha maji kwa miguu Yote

Mbili, Usiatamishe kuku wawili ktk kapu moja.

Jipange, usiwe na pupa

Kaka nimekuelewa sana ushaui wako ujo byeee. Ngoja nikafuge zangu nguruwe na kuku ambavyo nina uzoefu navyo niache ubishoo.
 
nashukuru sana kwa ushauri wako na kuonyesha unaifahamu kigoma vizuri binafsi napatikana eneo moja linaitwa gungu/stendi mpya niyafanyia kazi ushauri wako lkn hapo mwisho umemaliza vibaya sijui waha wakiona watakufiraje na sio kila anayeishi kigoma ni mha.asante sana

duuh "watakufiraje"???
 
mkuu, biashara nzuri ni ile ambayo una uzoefu nayo au umeisomea. so hebu tuambie una uzoefu na kitu gani au umesomea kitu gan kisha tuanzie hapoo
 
Back
Top Bottom