Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mimi kama Mtanzania Mzalendo ninayependa Nchi yangu hii inayoongozwa na Mh Dr Rais Samia kwa sasa najitolea 1M cash kama mkulima tu wa mahindi hapa Dumila.
Nawiwa kufanya hivyo ili kuvuta attention na hamasa kwa wananchi kuhusu ujio wa Katiba Mpya.
Kwa kutambua umuhimu wa jambo lenyewe madai ya Katiba Mpya iwe nguvu ya pamoja kila mtanzania mwenye akili Timamu ashiriki.
Tuna kazi moja tu kwa sasa. Nayo ni Katiba Mpya. Mh Rais ameshapuliza kipenga kazi yetu ni kusakata Kambumbu ili ije mapema.
Tunahitaji kumuonesha Rais kuwaba sisi watanzania tunaitaka.
Hata kama katamka kuandaa mchakato lakini tusipochangamka na yeye Mh Rais tutamvunja moyo au kumtia unyonge.
Sasa tufanye hivi.
Tuanzishe shindano la Mziki kwa wasanii Underground na wale wakongwe kwenye game.
Tufanye shindano la nyimbo za kuhamasisha Amani, Umoja, Utulivu, utii wa sheria, uzalendo na Katiba Mpya.
Matokeo ya hii kazi itakuwa hivi; kwanza Nchi nzima kutakuw na matamasha na fiesta ya kutafuta washindi wenye Tungo na mashairi mazuri ya kizalendo. Wananchi wengi watashiriki kuchagua wasanii wenye ujumbe na melody nzuri......burudani.
Pia itafika elimu kwa haraka na kasi ya ajabu kwa makundi yoote.
Mimi nitachanga Milioni Moja kama kianzio ayakaye leta single yake ikaonekana ni nzuri atabeba mzigo.
Ikiwa kutakuwa na wazalendo wengine wakatoa hata laki moja moja tukafika japo Mil 20 tutapata washindi watano wakali wenye nyimbo tofauti tofauti.
Kazi hii haitakuwa na Chama wala mlengo wa kisiasa kwani wote Chadema na Ccmwameshakubaliana kuhusu hilo.
Naomba kuwasilisha.