bro ukikomaa na ml 5 yako kuagiza gari japan litapigwa mnada unaliona maana bandarini kuna kulipia parking mda ukizidi wakati unahaha kutafuta ushuru mil 5+ nyingine.... baki hapahapa kuna mwamba kanunua carina TImanual mil 4.5 kaitengeneza mil 1.5 ipo barabaran ukiona picha utakataa muhimu ukague gari na fundi mzuri ujue matatizo yapoje.Kwa milioni tano!?
1890 USD+Kodi 3,000 USDHaha hata mm najiulizaga sana ilo swali
Jamaa wamewastukiaTumia makampuni makubwa au Makanisa wakusaidie kukuvushia bandarin bila hivyo hapo huna kitu. ...
Very correctMuda wako wa kuagiza/kumiliki gari bado.
Kwahio hela naomba nikutoe shaka kuwa unaweza kupata pikipiki ya Yamaha 110 mkuu.🤣🤣🤣Nina milioni tano nataka kuagiza gari japan la kutembelea naweza kupata gari aina gani?na gharama zote zisivuke milioni sita???
Msaada ndugu wenye uzoefu.
Mawakala wakiweka na ile commission Yao Ni balaaTafuta mawakala Kaka peke yako hutaweza coz Mambo Ni mengi.Gudluck
Hamna Nissan DuetKuna gari inaitwa nissan duet kwenye show room unapata kwa six mil net... Kwa kuagiza inapungua zaidi ya hapo. Usidanganyike. Nenda katika mitandao ya be forwarded au car junction angalia utafanikiwa tu. Usife moyo. Goodluck
Tuwekee hapa ili nasi wengine tupate maarifa.Unapata gari tena nzuritu..nitafute 0755229028
Nimeshaagiza magari kwa ajili ya jamaa zangu mara kadhaa.Hao wanakwambia uwatafute kwa namba zao za simu kuwa nao makini utalizwa.
Kama unataka gari used be forward ni wazuri ingia utakutana na magari mengi yenye bei tofauti,chagua gari kabla hujalipia nenda tra watakufanyia makadirio ndipo utakapoa amua.
Binafsi nilifanya hivyo na ilinichukua mwezi tu nikaipokea gari yangu
Be Forward Wana magari yaliyochoka sanaNimeshaagiza magari kwa ajili ya jamaa zangu mara kadhaa.
Huu ndio ushauri sahihi.
Akutafute wewe upo Japan ha ha madalali bwanaUnapata gari tena nzuritu..nitafute 0755229028
Madalali wana Njaa balaaAkutafute wewe upo Japan ha ha madalali bwana
Morocan, wewe ndio mmemsaidia huyu mwana JF tofauti na wale wenggine wanao mwambia habari za 10M. Najua akifuata ushauri huu atapata gari ya moyo wake kwani huko kwenye mitandao kuna hata ile calculator ya TRA itakayomsaidia kujua ni kiasi gani atalipia kwa gari anayotamani. All the bestKuna gari inaitwa nissan duet kwenye show room unapata kwa six mil net... Kwa kuagiza inapungua zaidi ya hapo. Usidanganyike. Nenda katika mitandao ya be forwarded au car junction angalia utafanikiwa tu. Usife moyo. Goodluck
Unadhani kila mtu anafikiria na kuwa na mawazo ya kiuwoga kama yako acha kumkatisha mwenzako kajichanga hapo alipo .... Kashasema anataka gari halafu wewe una mwambia anunue piki piki huu si ndio uchawi sasa mwenzako anataka kuongeza hatua ww unamrdisha nyuma.Nunua tu bodaboda 2 usimamie kwa makini ndipo upate wazo la kuagiza kirikuu Japan