Mr Key
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 255
- 298
bro ukikomaa na ml 5 yako kuagiza gari japan litapigwa mnada unaliona maana bandarini kuna kulipia parking mda ukizidi wakati unahaha kutafuta ushuru mil 5+ nyingine.... baki hapahapa kuna mwamba kanunua carina TImanual mil 4.5 kaitengeneza mil 1.5 ipo barabaran ukiona picha utakataa muhimu ukague gari na fundi mzuri ujue matatizo yapoje.Kwa milioni tano!?