Nina millioni 1 na laki 3 nifanye biashara gani?

Nina millioni 1 na laki 3 nifanye biashara gani?

Kwa Sababu ww ni mwanachuo lazima utaitaji msimamzi pindi utaapokua bize na Mambo ya chuo. Hapo tafuta biashara ambayo risk ya kupoteza mtaji ni ndogo hata kama hausimami mwenyewe muda wote. Ila kwa boda sikushauli ujaribu.
Asante sana kiongozi
 
Nenda Kariakoo nunua Mashuka ya laki 5 tu. Anza kuuza, kama utakuwa mbunifu ndani ya wiki mbili au tatu umeyamaliza na faida ni mara mbili yake.
Shuka zinauzwa 13k wewe unauza 25k wakilia sana uza 22k au hata 20k kulingana na eneo.
Pesa yako itakuwa salama zaidi.
MKUU HAYA mashuka ni mtumba au special
 
Ahh
Anzisha kijiwe cha juis ya miwa popote kwenye watu wengi. Weka kijana.
Machine ya petrol n 900k
Deri la kuweka juic 40k
Miwa 10k had 20k
Barafu 10k.
Petrol 10k
Kijana 20k
Ndimu na tangawizi 2k
Hesabu jioni n 100k baada ya kutoa natumuzi yote.
 
Check na watu wa UTT Amis,
Weka hiyo pesa kwenye mfuko wa ukwasi, utapata faida, badala ya kua unawaza masomo na biashara kwa wkt mmoja
 
Mbna wenzako wanalalmika hawna pesa za kujikiku wewe umetoa wapi pesa
Vyanzo vingi, ukute kwao wameuza kiwanja kapewa mgawo, au alibet mkeka ukatiki, au kapewa na mzazi wake. Cha muhimu ameonyesha mwanzo mzuri wa kutaka kuwekeza mapema ila cha kumshauri azingatie course work kwanza pesa akaiweke fixed bank/UTT Amis wakati akitafuta GPA, inaweza ikawa haina umuhimu ila pia inaweza kuwa na umuhimu sana kama ataamua kujikita na elimu huko mbele.

Biashara ipo tu utafanya unless uwe vizuri sana kuendesha mambo mawili kwa wakati mmoja.
 
Back
Top Bottom