Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

Ninachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhulike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye

Muanzishe Maziwa ya ng'ombe fresh na umuachishe kunyonya maziwa yako kichuani, hatodhurika.
Mara nyingi kama Baba zao ni mmoja aileti madhara kunyonyesha lakini kama umechanganya damu basi bora umuachishe.
 
Sina operation, Ila. Hofu yangu ni juu afya yangu mimi na mtoto, maana kiukweli kupata ujauzito saivi sikupanga kabisa,
pole dear, nakushauri usimnyonyeshe kwa sasa, Mpe maziwa ya ng'ombe yatamsaidia.
 
kitaalaam wanasema mwanamke anapokuwa mjamzito akiendelea kunyonyesha maziwa yanamxuru mtoto,yanakuwa sio sala tena couse mwil unakuwa unajitengeneza kwa ajili ya maziwa ya mtoto alie tumbonii
 
Nijuavyo mimi linapotokea jambo kama hilo kuna dawa ya kienyeji mtt huyo mdogo anatengenezewa,,alafu anavalishwa inakuwa inamkinga asidhurike kwa hayo maziwa unayomnyonyesha,,sasa cjui kuna uhusiano gan kati ya ile dawa iliyofungwa kiunon kwa mtt na maziwa ya mama hapo ndio cjui.

Ila nimeshaona watt wengi wanafingwa hizo dawa kwa kuepuka matatizo kama hayo, ila kwa sisi vijana wa sikuhizi linapokuja sual la dawa za kienyeji tunaona ni uchawi.
 
Sipendagi wanawake ambao hawajielewi!! Miezi minne kwenda kumbebea mtoto mimba afu ukiulizwa eti bahati mbaya..Bahati mbaya my foot! Jielewe! Unamtesa mtt bila sababu!
 
Bado sijaenda hospitali , nimeolewa, nina mtoto mmoja tu, umri wangu ni 29 yr,
Huelewek
Mbona? Kuna sehemu umesema ulienda hospital wakat mtoto anahara wakampima hana tatizo alafu hapa unasema hujaenda hospital...kuwa seriously bas
 
Huelewek
Mbona? Kuna sehemu umesema ulienda hospital wakat mtoto anahara wakampima hana tatizo alafu hapa unasema hujaenda hospital...kuwa seriously bas
Naomba ufuatilie vizr huu uzi kuanzia mwanzo hadi mwisho!!! Nilijibu cjaenda hospital kupata ushauri wa dr jinsi ya kulea mimba na huku nanyonyesha, nikaulilizwa je mtoto nilimpeleka hospitali kwa sababu anaharisha? Nikajibu ndiyo...

Hivyo jaribu kusoma kikamilifu ili uweze kuelewa
 
Sina operation, Ila. Hofu yangu ni juu afya yangu mimi na mtoto, maana kiukweli kupata ujauzito saivi sikupanga kabisa,
Wakati unatanua BOPA! Ulikuwa unategemea matokeo gani!? Hayo ndio yanaitwa MATOKEO MAKUBWA SASA! Ama BIG RESULT NOW! Lako hilo!
 
Habar zenu wana jf!! Samahani sana kwa usumbufu, naombeni msaada wenu nifanyeje mwenzenu yamenikuta nipo njia panda sina cha kufanya.

Mwanangu bado mdogo miezi minne tu sasa na tayari nina ujauzito. Mtoto kashaanza kuhara kila siku na anazidi kunyong'onyea tuu. Hospitali walimpima hana tatizo, je nifanyeje? Nawaombeni sana mnisaidie ili niokoe afya ya mwanangu.

Najua kuna watu watanitukana ila yote sawa nastahili, ushari wako ni muhimu.

Asanteni.


Mkuu mambo yamekwendaje. Hebu tufahamishe tujifunze kitu hapa kama mwanao afya yake ilikwendaje. Bila shaka sasa mimba itakuwa na miezi saba. Naomba kujua
 
Hongera kwa kazi njema iliyo tukuka, hakuna shida yoyote kama baba wa watoto ni mmoja, zingatia upendo kwa wanao na lishe bora
 
Fanya hivi endelea kumnuonyesha huyo mtoto mpaka ujifungue na kama maziwa ni mengi utaendelea kunyonyesha wote hakuna madhara yoyote na itakusaidia mtoto aendelee kukupenda ila akina mama tuwe tunajuinga na njia za uzazi wa mpango baada tu ya siku 40 ya uzazi njia gani utatunia ukienda klinik za afya ya mama na mtoto kitengo cha uzazi wa mpango utapata elimu na utachagua njia wewe mwenyewe hazina madhara kabisa ni salama, ukijufungua baada ya siku 40 mji wa mimba unarudi kawaida na kwenye uwezo wa kubeba mimba hata kama hujaingia hedhi labda uwe unamnyonyesha mtoto mara 6 mchana na usiku mara 4 uwe hujapata hedhi na uwe hujampa mtoto chakula kingine chochote hata maji ya kunywa kwa muda wa miezi 6 hiyo inasaidia udivebe mimba kwa kipindi hicho tu miezi 6 baada ya miezi 6 mtoto akianza kula haikufai tena
 
Acha kunyonyesha. Lea mimba. Ila hakikisha mtoto anapata lishe nzuri
 
Back
Top Bottom