Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

Usifanye lolote dada mimi nnawatoto sita nimezaa mara tatu ,katikati ya seti ya 2 na 3 nilishika mimba sema ilikua bahati mbaya,dr aliniambia niwanyonyeshe kama kawaida nizingatie lishe ya chakula cha hawa walionje ,usitoe wala nini wote watakua
 
kitaalaam wanasema mwanamke anapokuwa mjamzito akiendelea kunyonyesha maziwa yanamxuru mtoto,yanakuwa sio sala tena couse mwil unakuwa unajitengeneza kwa ajili ya maziwa ya mtoto alie tumbonii
Mkuu unaweza kuthibitisha hili mm najua mtoto anaweza kunyonya maziwa ya mtu yyte sema hapo inabidi amnyonyeshe hadi kipindi ambacho uache yajitengeneze kwa nn ajili ya mtoto mpya
 
Tupe
Habar zenu wana jf!! Samahani sana kwa usumbufu, naombeni msaada wenu nifanyeje mwenzenu yamenikuta nipo njia panda sina cha kufanya.

Mwanangu bado mdogo miezi minne tu sasa na tayari nina ujauzito. Mtoto kashaanza kuhara kila siku na anazidi kunyong'onyea tuu. Hospitali walimpima hana tatizo, je nifanyeje? Nawaombeni sana mnisaidie ili niokoe afya ya mwanangu.

Najua kuna watu watanitukana ila yote sawa nastahili, ushari wako ni muhimu.

Asanteni.
Mrejesho Mkuu vipi ulijifungua salama , ulitumia mbinu gani Afya za watoto wetu vipi
 
Sina operation, Ila. Hofu yangu ni juu afya yangu mimi na mtoto, maana kiukweli kupata ujauzito saivi sikupanga kabisa,
Hukupanga afu unaliwa kavu tena siku za hatari ???
 
Hii ni ushauri kwa wote, mke wangu alibeba mimba mtoto akiwa na miezi 6. unachokieleza also kilimtokea mke wangu, tuliomba ushauri,kutoka kwa bibi yetu kijijini.

Bibi alitueleza kwamba mke wangu amchukuemtoto aoge naye, yale maji unayooga ,hasa maeneo ya tumbo. mwogeshe mwanao. huku ukiongea maneno haya " mwanagu ( Taja jina la mwanao) mpokee huyu mtoto ni mdogo wako, anakupenda sana, usiwe na hofu ,wote ni wanangu pendaneni,mimi nawapenda wote na Mungu anawapenda wote" fanya kila wakati unapooga. ndani ya siku 7. then utaona matokeo. endelea kumnyonyesha mwanao. mambo yote yataenda safi. au nipm...nikuambie zaidi. ukizarau shauli lako. Usitumie dawa ya mzizi yoyote, utawadhuru wao. nilichokumbia hapo ndiyo ufanye.

Kinachofanyika hapo siyo uchawi ni kubalance joto la mtoto wa tumboni na huyo uliyenaye. usiache kunipa feedback baaada ya siku 7.

ndiyomkuusana , umefunga pm yako mkuu. Kuna Jambo ningependa kukuuliza.

-Kaveli-
 
Pole huwa inatokea mbona??Sema tuu inasumbua kisaikolojia basii
 
Back
Top Bottom