Mahmoud Shariff Qaasim
JF-Expert Member
- Nov 3, 2007
- 923
- 267
Ninachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhulike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye
pole dear, nakushauri usimnyonyeshe kwa sasa, Mpe maziwa ya ng'ombe yatamsaidia.Sina operation, Ila. Hofu yangu ni juu afya yangu mimi na mtoto, maana kiukweli kupata ujauzito saivi sikupanga kabisa,
nakushauri uwaone wataalamu wa dawa za asili ambao watakupa dawa utakuwa unatumia huku unamnyonyesha mwanao bila kudhurikaAksante, ila naomba unisaidie nifanyeje nin? Mimi
Kutoa mimba siwezi
Khah utamzeesha haraka mkeo, na akizaa kwa operation jekwa kweli mimi nikiwa na uwezo napenda mke wangua ajifungue mfululizo kama hvyo sipendi wanangu waachane sasa
Vipi mtoto anaendeleaje?? na ujauzito nao unaendeleaje?OK, thanx be blessed
Namshukuru mungu anaendelea vizr kabisa na ana afya nzr... Namuomba mungu azid kunipigania kwa hiliVipi mtoto anaendeleaje?? na ujauzito nao unaendeleaje?
HuelewekBado sijaenda hospitali , nimeolewa, nina mtoto mmoja tu, umri wangu ni 29 yr,
Naomba ufuatilie vizr huu uzi kuanzia mwanzo hadi mwisho!!! Nilijibu cjaenda hospital kupata ushauri wa dr jinsi ya kulea mimba na huku nanyonyesha, nikaulilizwa je mtoto nilimpeleka hospitali kwa sababu anaharisha? Nikajibu ndiyo...Huelewek
Mbona? Kuna sehemu umesema ulienda hospital wakat mtoto anahara wakampima hana tatizo alafu hapa unasema hujaenda hospital...kuwa seriously bas
Wakati unatanua BOPA! Ulikuwa unategemea matokeo gani!? Hayo ndio yanaitwa MATOKEO MAKUBWA SASA! Ama BIG RESULT NOW! Lako hilo!Sina operation, Ila. Hofu yangu ni juu afya yangu mimi na mtoto, maana kiukweli kupata ujauzito saivi sikupanga kabisa,
Habar zenu wana jf!! Samahani sana kwa usumbufu, naombeni msaada wenu nifanyeje mwenzenu yamenikuta nipo njia panda sina cha kufanya.
Mwanangu bado mdogo miezi minne tu sasa na tayari nina ujauzito. Mtoto kashaanza kuhara kila siku na anazidi kunyong'onyea tuu. Hospitali walimpima hana tatizo, je nifanyeje? Nawaombeni sana mnisaidie ili niokoe afya ya mwanangu.
Najua kuna watu watanitukana ila yote sawa nastahili, ushari wako ni muhimu.
Asanteni.
Kwan ulibakwa mpaka useme hukupanga?, hujui uzazi wa mpango?Sikupanga iwe hivyo na wala sikutarajia kupata saivi, ni bahati mbaya tu