Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

Usifanye lolote dada mimi nnawatoto sita nimezaa mara tatu ,katikati ya seti ya 2 na 3 nilishika mimba sema ilikua bahati mbaya,dr aliniambia niwanyonyeshe kama kawaida nizingatie lishe ya chakula cha hawa walionje ,usitoe wala nini wote watakua
 
kitaalaam wanasema mwanamke anapokuwa mjamzito akiendelea kunyonyesha maziwa yanamxuru mtoto,yanakuwa sio sala tena couse mwil unakuwa unajitengeneza kwa ajili ya maziwa ya mtoto alie tumbonii
Mkuu unaweza kuthibitisha hili mm najua mtoto anaweza kunyonya maziwa ya mtu yyte sema hapo inabidi amnyonyeshe hadi kipindi ambacho uache yajitengeneze kwa nn ajili ya mtoto mpya
 
Tupe
Mrejesho Mkuu vipi ulijifungua salama , ulitumia mbinu gani Afya za watoto wetu vipi
 
Sina operation, Ila. Hofu yangu ni juu afya yangu mimi na mtoto, maana kiukweli kupata ujauzito saivi sikupanga kabisa,
Hukupanga afu unaliwa kavu tena siku za hatari ???
 

ndiyomkuusana , umefunga pm yako mkuu. Kuna Jambo ningependa kukuuliza.

-Kaveli-
 
Pole huwa inatokea mbona??Sema tuu inasumbua kisaikolojia basii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…