mfichuamambo
Senior Member
- Jul 22, 2021
- 107
- 313
Yani unatamani kutoa mimba au kumuua huyo kiumbe alafu akikua nikusikie unabana pua huku unasema "nampenda mtoto wangu" pumbafu.Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa
Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa

Dada zetu wanachokosea ni hawaangalii nani na nani wanaweza kufanya nao ngono zembe hata ikitokea chochote akawajibika.Hao hao unaotegemea kukushauri nao kuna sehemu wametelekeza watoto. Kikubwakama unakula na kulala pazuri inatosha
Shenzi, acha ukome... Ulipo anza nae ulituuliza? Si ulimpenda sasa inakuaje kutusumbua sisiNina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa
Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Wakati mnapenda kuzagamua danger days sababu joto liko juu mnakuwa hamjui kama kuna majukumu ee?Kwanini mnapataga mimba hovyo hovyo tu,kumbukeni kwasasa wanaume wengi hawapendi majukum
Alitakiwa kufanyaje? Akupokee hiyo mimba?Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa
Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Wanasemaga ‘ngoja nimzalie/ nimbebee mimba atatuliaAre you seriously blaming him? Unasema alishakuonyesha uchafu wake wote na unaujua lakini ukaamua kuvumilia, sasa hapo mwenye kosa ni yeye au wewe? You had a choice and you chose wrong and thats not on him its on you. Hivi hii tabia ya mabinti kujilamisha kwa wanaume na kukataa kuachika itaisha lini jamani? na kwa akili yako ulizani kubebea mimba ndio kupendwa na kuolewa mweee. Kiukweli kabisa kutoka moyoni mimi nakulaumu wewe
Nasikitika baba wa mtoto naye ni Shoga.Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa