Nina mimba yake lakini kanitelekeza!

Nina mimba yake lakini kanitelekeza!

Kwa bandiko lako hili hapa ni dhahiri na wewe ulienda gym kuwinda na kushawishi vijana wenye six pack sasa wamekutia kidude unalalamika,sometimes kulikuwa na mwamba alitaka hadi kukuowa but kwa kukosa kwake six pack ukamuona lofa.

Kimasihara masihara unaenda kuwa single mama!idadi inaongezeka.
Alinikataa huyu kisa ni haka kakitambi kangu.
 
Kalenda ya uzazi unayo wewe kama mwanamke,
Kwanini huku chukua tahadhari mtumie kinga ?

Kwani alikubaka ?
 
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa

Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Unabebaje mimba nje ya ndoa
mjinga kabisa wewe
 
Najaribu kuhesabu hapa idadi ya mabaunsa wenye familia,nkimaliliza ntawapa mrejesho.
 
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa

Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Visirani subiri uzae
 
Gym ndio wale uliosema wanapakuliwa?
 
Aliyekupa.. baba kijacho [emoji23]
Wanasemaga eti Mwanaume asiyetulia mbebee mimba, ukishakuwa na kiumbe chake atatulia.

Ndio mtoa mada huyo kalivagaa
Yaani hapo utatulia mwenye kiumbe tumboni,

Lakini mwenzio anakuwa kama moto wa kifuu[emoji23],,unaishia kujutata tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa

Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kwa akili hizi za wanawake, kuja kupevuka kifikra ni jambo lisilowezekana.
Mimba uibebe wewe, halafu uje udai ni mali ya mwanaume?
Mwanaume ana ileaje mimba, wakati wewe umeibeba?
Yaani unataka mwanaume akupe pesa za kula, kuvaa na kulala kisa tu alikupa utamu mwingi mpaka kupata mimba?
 
Wakati mnapenda kuzagamua danger days sababu joto liko juu mnakuwa hamjui kama kuna majukumu ee?
Dada kukusaidia tu.

Kwa tendo lolote la ngono zembe as long as haulifanyi na mumeo aliyeidhinishwa inakutaka wewe kama mwanamke ambaye utapata madhara makubwa zaidi kuamua nini kifanyike nini kisifanyike?ng’ang’ana kusema “hamjui kama kuna majukumu” na wewe haya yakukute.
 
Back
Top Bottom