Nina mimba yake lakini kanitelekeza!

Nina mimba yake lakini kanitelekeza!

Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa

Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana rafiki
 
Mchafu wa nini ?
 
Back
Top Bottom