Nina mimba yake lakini kanitelekeza!

Nina mimba yake lakini kanitelekeza!

Mwenyewe ukajua utakuwa umejikwamua kiuchumi maana utakuwa na uhakika wa kupata ruzuku ya malezi ya mimba hadi mtoto siku zote za maisha yako!

Umaskini na kuluzu sasa baibai [emoji112]
 
Akili una huja olewa unapanua tu mapaja hapo ushatiwa nuksi ujanja kwisha hakuna wanaume mjinga hatakuja kukuoa kwanza ushapotea kweny urembo
 
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa

Wewe toa bhana kama unataka ina ukubwa gani hiyo? Kwani ukitoa haitoki? Au unatutishia.
 
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa

Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hongera, mambo unayaweza yaani hadi mimba, safi sana.
 
Dada kukusaidia tu.

Kwa tendo lolote la ngono zembe as long as haulifanyi na mumeo aliyeidhinishwa inakutaka wewe kama mwanamke ambaye utapata madhara makubwa zaidi kuamua nini kifanyike nini kisifanyike?ng’ang’ana kusema “hamjui kama kuna majukumu” na wewe haya yakukute.
Point
 
Mwanzo mapenzi hunoga sana mkishazoeana sasa ukute mwenzio ndio wale wasiojielewa na hawawezi kujikontrol hapo ndipo balaa linapoanzia!! Ilaa watoto ni baraka mamy!
Mahondaw mamb vp mamy ??
 
Katika maswala ambayo sitakuja kumuonea huruma mwanamke ni hili la kupewa mimba na kutekelezwa
 
Wakati mnapenda kuzagamua danger days sababu joto liko juu mnakuwa hamjui kama kuna majukumu ee?
Sisi Kichwa cha chini hukifunika kichwa cha juu,kwahyo ni kujumu lenu kuzuia hicho kitu kisitokee
 
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa

Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana mfichuamambo.
 
sasa kama kajua sio yake aendelee kulea mimba ya kazi gani... Kama alikua mchafu maana yake na wewe ni mchafu pro max... ndege wafananao huruka pamoja
 
mbona umeumia sana mkuu, kwani na wewe una mimba na mwenye nayo kakimbia
basi pole
Njoo ushuhudie kama mimi ni dume au jike.

Kauli yako hii ndio ilikuwa ya kipopoma, isome tena[emoji116][emoji116]

"Unabebaje mimba nje ya ndoa
mjinga kabisa wewe"

Akisubiri mpaka aolewe ndio azaee kuna waowaji siku hizi? Si atazeekea nyumbani bila kuzaa akisubiri ndoa?

Wanaume wa kuwaoa dada/watoto zetu siku hizi wako wapi? Ukata umekubali siku hizi kwa wanaume wengi. Wadada/wamama wametupiga gepu kiuchumi.

Tafuta pesa kijana mademu wa nguvu utawapata tu.
 
Pole sana, na uchafu wake wote na bado ukambebea mimba...

Kweli hayanaga muongozo...
 
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa

Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kutelekezwa na mimba ndio fashion ya sasa usishtuke mdogo wangu eee
 
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa

Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ukibadilisha hiyo avatar yako, walau nitakuonea huruma.
 
Back
Top Bottom